Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaumia ukiwa wapi?

Kwani nimelipa na pesa yako? Najua mnatamani tushindwe kulipa lakini utangoja sana.
Mmekuwa watumwa kwenye nchi yenu wenyewe yaani mnalipa kodi zinaliwa na mapoliticians harafu wanawachuuza Kwa wachina mmendelee kuwalipa tolls
 
Mmekuwa watumwa kwenye nchi yenu wenyewe yaani mnalipa kodi zinaliwa na mapoliticians harafu wanawachuuza Kwa wachina mmendelee kuwalipa tolls
Uzuri T unaishi maisha mazuri kuwaliko. Wewe uko hata na hiyo pesa ya kulipa Mchina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…