Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
ππππ aisee glad nimekutoa ujinga. πππ sisi hatusaini mikataba ya kipumbavu, we ahead of time. Taifa la mafala hii region ni nyinyi tu.Good on paper lakini kwa ground tunaona hawkers tu. π€£π€£ Avic walijaribu kuwekeza pale Kigamboni, sahii wamebaki na ghost town. π€£π€£π€£
Watoe pesa wapi kununua nyumba! On the contrary, Avic apartments in Nairobi (GTC) are selling like a hot cakeGood on paper lakini kwa ground tunaona hawkers tu. π€£π€£ Avic walijaribu kuwekeza pale Kigamboni, sahii wamebaki na ghost town. π€£π€£π€£
Mikataba ya kipumbavu wakati wanamiliki hadi vichinjio vya punda πππππ aisee glad nimekutoa ujinga. πππ sisi hatusaini mikataba ya kipumbavu, we ahead of time. Taifa la mafala hii region ni nyinyi tu.
Acha kujitia uchizi sipo kwajili ya kuchekesha hapa. Njoo na mada ya kueleweka. πππ.Mikataba ya kipumbavu wakati wanamiliki hadi vichinjio vya punda π
Mada ya kueleweka ndio hii hapaAcha kujitia uchizi sipo kwajili ya kuchekesha hapa. Njoo na mada ya kueleweka. πππ.
Munashugulika na mikataba ya Chinese hawkers. π€£ π€£ π€£ππππ aisee glad nimekutoa ujinga. πππ sisi hatusaini mikataba ya kipumbavu, we ahead of time. Taifa la mafala hii region ni nyinyi tu.
Duh hili nchi mbona sio kabisa
So over 50% ya wakenya ni maskini ukiongeza wale wa north ni over 70% mamaae.
Ila kuna watu wehu hapo kwa comment elimu ni muhimu takwimu ni za Data za Mwaka jana NBC timu mbili zilipenya Robo Fainali mabigwa ikiwa Moja ya Nchi mbili tu na Morroco kupeleka Timu mbili.
Have you ever heard of something called REITs? Do you even know what is it? Kama hakuna returns then why would a Chinese spend $400M to just build high rises?Pita huku. πππ kupitia gorofa China anapata nini in kenya in return.? πππ hadi sahii gorofa ziko vacant. Express way kila siku ni loss people cant afford, SGR ni loss. No wonder chinese wamejitoa ku fund your train to where πππ. That is becoz wanapata loss
Hadi office yao ya Takwimu hawaitaki kisa Masikini wengi.Siku Hz wapo against credible sources, wanaipinga mpaka central bank yao π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Ebu nionyeshe uwanja wowote duniani yenye imejengwa msituni where there is no roads and electricity.
Anyway talking about roads, Ebu tuonyeshe barabara hapa
View attachment 3213253View attachment 3213254
SGR was a loan just like your SGR and not PPP. I use expressway almost daily, sasa sijui ni watu gani hao unaongelea?Acha upumbavu mdogo angu.
SGR inabidi mlipa 30 years ili wakuachiani mradi, na hadi sasa tangu mfungue ni loss tu, sasa je si itafika miaka 100 Nigaz are making money. Je sio bogas treaty.? πππ
Express way alkadhalika.. you Nigas cant afford using it.. πππ ni inabidi mtumie mumlipe in 30 years. Je unadhani haitafika miaks 100.? Je sio bogas treaty.?
Wewe Huoni mnachukua mwaka mzima kuchimba tu foundation? Meaning trucks and materials hazifiki site on time, inabidi mfyieke njia katikati ya msitu ndio trucks zipite.Materials hapo site wamefikisha kwa drones na camp hapo wanatumia koroboi kama slums za kibera na mathare kwa sababu hakuna umeme sio?
Umesha pata muda wa kuta zama huo uwanja wa Hassan II Morocco?
Chuchungeeee πππππππTanzanian population is living in slum is 44%. That Twitter handler just left Tanzania out of that list intentionally because Tanzania is insignificant to him/her.
Unatuonyesha barabara yenye iko 10km away?Ubaya ni kwamba mimi sio mvivu wa kutafuta taarifa. Nikiamua kukubananisha uchomoi πππ haya barabara si hii kando ya uwanja. ππΎView attachment 3213378chini hapo ji mita 30 kifikia barabara ingine. πππ
The poor Chinese go to Tanzania while the rich run to KenyaππThey are attracting Chinese hawkers instead of wealthy investors. π€£ π€£ π€£