Ukiacha politicians wanaojichotea za wajinga hakuna mkenya tajiri zaidi ya wazunguUkijitia utahira me nakuacha tu.. ila ukweli ni kwamba akina baresa wote ni watanzania wazawa kuanzia babu zao. Ila uchumi wa wakenya ni mali ya mzungu na mchina.. wakenya wote ni maskini, kuanzia wewe en your fellow country men in this thread. Tena you guys ni maskini wa kutupa. Facts..
Mbona unapenda kijiongopea buda.? 😂😂😂 hii ni updste ya leo.?As of today 24th Jan 2025 hawa wachawi bado wanachimba foundation. Alafu sidhani Kama CAF watakubali kupeleka hata training session to this wilderness. Yani out of all places hawa wachawi waliamua kujenga uwanja msituni?
Kwanza hata barabara ya kufika kwa Hii quarry hakuna.
View attachment 3212851
View attachment 3212852
Kama unapinga basi ebu leta hiyo yako ya Leo tuone.Mbona unapenda kijiongopea buda.? 😂😂😂 hii ni updste ya leo.?
Watchman I asked you to bring your government figures. Kama huna sema tujueLete yako inayosema current figures za 2025🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hebu leta hiyo list tuone wazungu wako wangapi.Ukiacha politicians wanaojichotea na wajinga hakuna mkenya tajiri zaidi ya wazungu
Hii ndio figures za serikali yenu?Haitobadili figures from your Government 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3212885
Mbona wanaunda Stadium ushago?As of today 24th Jan 2025 hawa wachawi bado wanachimba foundation. Alafu sidhani Kama CAF watakubali kupeleka hata training session to this wilderness. Yani out of all places hawa wachawi waliamua kujenga uwanja msituni?
Kwanza hata barabara ya kufika kwa Hii quarry hakuna.
View attachment 3212851
View attachment 3212852
Pitia hii link. 😂😂😂Haitobadili figures from your Government 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3212885
Aawpii hii kitu haitakuwa 60,000 seats capaciry naona structure ya 30,000 seats hapo? Ruto kashawafalamanga tayari!Talanta Stadium.
wengine bado wameshindwa kumaliza kuchimba foundation ya 20k seater mini stadium is being.
View attachment 3212868
View attachment 3212876
Unaona kama nani? 🤣 🤣 Jiheshimu we mzee.Aawpii hii kitu haitakuwa 60,000 seats capaciry naona structure ya 30,000 seats hapo? Ruto kashawafalamanga tayari!
Hebu onyesha structure moja ukunyani iliyofuata render!Unaona kama nani? 🤣 🤣 Jiheshimu we mzee.
Wanajengea Wanyama poriMbona wanaunda Stadium ushago?
Peleka hasira zako mbali wewe Methuselah.Aawpii hii kitu haitakuwa 60,000 seats capaciry naona structure ya 30,000 seats hapo? Ruto kashawafalamanga tayari!
No disrespect to Bongo but Kenya is only rivaled by Nigeria when it comes to business ownership ( I don’t know about other parts of the world but am talking of the United States)… Kenyan owned businesses involve hospitality industry,Transportation ,Healthcare all the way to manufacturing ( Yes Kenyans own factories in America)… people have this misconception that Africans only work as care providers in retirement/ care homes… go to Seattle… highest percentage of care homes are owned by Kenyan women….😂😂 say no more. Serengeti kitchen in North Karoline. 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/reel/DEiwdzUOnLH/?igsh=NGh5aXFudmpjb2xk.
Denial stage iliisha, sahii naona uko kwa bargaining stage. 🤣 🤣 🤣 Depression itakumaliza in the next few months.Hebu onyesha structure moja ukunyani iliyofuata render!
Endeleeni kubebwa ujinga na ufalamanga!Denial stage iliisha, sahii naona uko kwa bargaining stage. 🤣 🤣 🤣 Depression itakumaliza in the next few months.
I think I was the first person to post the current renders of Talanta, on that day wachawi wote walinicheka wakisema ati ikijengwa watafunga account. That day I got more reactions from hawa wachawi yenye sijaipata before in JF. Fast forward to today washabadilisha gear ati hatujaifuata render😂😂😂Denial stage iliisha, sahii naona uko kwa bargaining stage. 🤣 🤣 🤣 Depression itakumaliza in the next few months.