Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ubaguzi wa kinyan’gau huu. Kwa mantiki hii Ali Hassan Joho, Bhimji Depar Shah sio wakenya. Upuuzi mtupu😎
 
Sasa nchi ina millions of nationals refugees in own country! Is that a country?
Hii story ya beggars wenu Kenya huwa inawauma sana🤣🤣🤣 Eti we have millions of Kenyan refugees in Kenya? How can you be a refugee in your own country. Can you define what a refugee is?
 
Ukabila unawamaliza Wakenya
 
imagine watuletee garasa kwasababu zao za kisiasa na si mtu mwenye nia thabiti kuhudumia Africa! Hell no!
Uzuri unapiga kelele ukiwa uswazini Tandale na huna kura hata Moja wala uwezo yoyote ya kuinfluence outcome ya hiyo uchaguzi. Kuna vigu zingine hamufai hata kuinguza emotions ndani. Utaonekana tu mjinga.

Tanzania nzima ni Mama tu ndio ako na kura lakini uko hapa na kelele kama chiriku!
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Kundudweller

This is your highest thinking ability
 
😂 Alafu wanataka kubishana na Wakenya. Kenyans are the most entrepreneurial people in East Africa. You can find a Kenyan owned restaurant in Washington DC USA but you can never find a Tanzanian restaurant even in nairobi
 
Aibu gani hizi. Yani nchi imetekwa nyara na warabu!?🤣🤣🤣🤣🤣

Ngozi nyeusi imebaki ikipiga kelele JF na kutaja Azam 24/7 mali ya mwarabu🤣🤣🤣
 
Aibu gani hizi. Yani nchi imetekwa nyara na warabu!?🤣🤣🤣🤣🤣

Ngozi nyeusi imebaki ikipiga kelele JF na kutaja Azam 24/7 mali ya mwarabu🤣🤣🤣
Wakina Manu Cyandaria na Shah umewasahau sio?
 
I have been here twice … best mbuzi choma I have ever tasted…. Very popular with DC based diplomats.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…