Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wacha nimalizie kwa songea airport...lakini kumbe wabongo sio watu wazuri...picha za Dar wamejaza hapa wakiimba jinsi walivoendela kumbe mambo nje ya Dar ni haya...nimewadharau toka leoπŸ™πŸ™
Sehemu zilizoendelea ni kusini mwa nchi tu .kaskazini ovyo hebu tazama tz ilivyo kila upande pana maendeleo
 
nimekuuliza ni wapi imewekwa kibao kuwa hapo ndio airport?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kumbe ni mambo ya wikidpedia
hahahaha bro naona umepata mpaka mafua yani nimecheka sana leo duhhhπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hizo zote vibanda
 
Hahahahaha!! Vipi kuhusu barabara na huduma za kijamii eg (Hotels, Bank etc) Au abiria watakuwa wanalala kwenye magofu?
Plan mbovu
Isilo City







[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Huu uzi sijawahi kuufungua tangu nijiunge JF, huwa unatrend lakini naupita tu.

Aisee ni mtamu sana, nimecheka sana hui mpambanoo

Pongezi kwa Annael na wadau wengine wote
karibu bro tuko pamoja sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…