Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
if this was in Tanzania, it would be better than the best airport
hata mimi nimenotice...ushamba tu😀😀Kwa nini wanaandika juu ya mabati?Ndio ionekane mwezini ama nini?
Hahaha NDINDA nakuomba umuonyeshe huyu wenye kuku wapo wapiBado mko kwa primitivity ya Bus stands...Sisi tuko kwa sheduled public transport.Mshinde hapo,nyie ni wale ambao wakienda Christmas vijijini mnaenda na sofaset na kuku na kurudi nayo jijini....Ati bus stand.Nyeee
Samburu Airport Kenya
![]()
![]()
![]()
It will be the only terminal in east n central aftica capable of handling Airbus A380 800 world biggest passenger plane
jua kutofautisha kati ya airport na airstrip..punguaniUsianzishe ugomvi kama unanyumba ya kioo
Ukunda Airport kenya
![]()
![]()
![]()
Tihahaha...si mko na ushamba....Get out of this primitive country and get to see things
ikwapi bus stand za kenya 😀😀😀Bado mko kwa primitivity ya Bus stands...Sisi tuko kwa sheduled public transport.Mshinde hapo,nyie ni wale ambao wakienda Christmas vijijini mnaenda na sofaset na kuku na kurudi nayo jijini....Ati bus stand.Nyeee
wapi bus stand za kenya alafu munasema muko civilised kati ya choo na stand zenu kipi kina afadhali😀😀Hiyo ni mharo tu,...Hakuna jipya hapo
hiii si choo kabisa😀😀😀Usianzishe ugomvi kama unanyumba ya kioo
Ukunda Airport kenya
![]()
![]()
![]()