Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Garissa Airport Kenya

img_0617.jpg



garissa.jpg
 
Nimeweka jamaa ameng'aka. Hataki watu wajue. Kwa sababu ameanzisha mwenyewe ngoja tumalize.
tafuta na kisii airport utacheka mpaka uanguke hawa watu ni masikini sinawah kuona😀😀😀😀
 
this is what we call an airport...sio hayo magofu nimeona leo...yaani nimewadharau sana wabongo toka leo..sikujua hali ndio hio...ni huzuni
JKIA-T123.jpg
JKIA-T131.jpg

Pyeee ..airport nzur kwa mbele tu ..kwa nyuma ni ma godown ..majumba kama ma godown nothing modern ..subir terminal 3 JNIA ikamilike ..inaukubwa 3/4 ya terminal zote hapo JKIA ..and it will be the most modern ..good equipments ..airbridge zenye uwezo wa kuegesha A380 ..wakati nyie mkiwa kwenye ndoto mnasubiria loan ya Afdb muanze ku expand runway na terminal zenu
.NB terminal 3 JNIA 7mil passengers ..june 2018 save the date ..na tukishafungua hyo naanza ku expand terminal 2 ..mind u mwanza n kia are under expansion
 
Huu uzi sijawahi kuufungua tangu nijiunge JF, huwa unatrend lakini naupita tu.

Aisee ni mtamu sana, nimecheka sana hui mpambanoo

Pongezi kwa Annael na wadau wengine wote
Karibu sana huu ni moja ya nyuzi zakipekee sana jf
 
wacha nimalizie kwa songea airport...lakini kumbe wabongo sio watu wazuri...picha za Dar wamejaza hapa wakiimba jinsi walivoendela kumbe mambo nje ya Dar ni haya...nimewadharau toka leo🙁🙁
 
wacha nimalizie kwa songea airport...kakini kumbe wabongo sio watu wazuri...picha za Dar wamejaza hapa wakiimba jinsi walivoendela kumbe mambo nj ya Dar ni haya...nimewadharau toka leo
Usitudharau brother taratibu tunajikongoja
 
Back
Top Bottom