Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Akili ipo kwa kukalia
 
Soma source uje kivingine, ko leo mna kazi moja tu ya kupinga your own state sources kivyovyote kisa serikali ya zakayo ilivunja kitengo cha data cooking? 😂🤣😁 Au hawalipwi enough to deceive the mass so wanazitoa zikiwa raw unlike uhuru kunyata regime 😁😅
 
Where did they write the source : central bank of Kenya like on this attachment? Au mnachomoa tu huko nyuma? 🤔

 
Nusu ya wakundustan wanaogelea kwenye uchochole wa ufukara according to kasongo yeye government 😂🤣

View attachment 3202938
Kwamba 39% ni nusu ya wakenya?🤣🤣🤣🤣
Kama 39% ni nusu ya wakenya 42% as of 2024 itakuwa what fraction of Tanganyikans?

Tanzanians stop being desperate. Start working on the high poverty rates in your country
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…