Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Another N.G.O money grab scheme … can’t you see the source … Aliceforchildren …. Am sure they have a video too of little kids with flies on their face … that’s how you make westerners shed tears and open their check book so the Organization CEO can afford that long overdue vacation to Switzerland 🇨🇭…
A dumb bongolala won't comprehend this
 
uhehehe uchumi wote umekufa sasa munategemea kila kitu kwa mchina yani mpaka stadium hanuwez jenga kwa pesa zenu mpaka mchina aje na ppp😂😂😂
PPP sio bure, si ukuje utumie expressway bure tuone. Makwapa ilijengwa bure, library pia ni ya msaada, na Tazara mukasamehewa deni ju mulishindwa kulipa. 🤣 🤣 🤣
 
Ni aibu kuwa mkenya wakati hata Avatar yako umeweka picha ya mtu mwenye asili/damu ya kikenya! Sema moyo inatamani sana uwe mkenya ila mdomo inakataa
Weka ushahidi kwamba ni mkenya huyo niondoke jf 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
yani mm nawashangaa sana viongozi wetu sijui wako vp yani wanajifanya kama hawawajui kua wakenya ni wabaya wetu miaka yote tunarudia makosa yale yale miaka yote na hatujifunzi
Hawa wakenya ni wababaishaji mnooo, hii michuano hawakuwa tayari kuandaa, sisi tulikuwa na lengo mda mrefu na tulishajiandaa, hawa wakenya wamekurupuka baada ya kuona tukiandaa sisi tutawacheka miaka yote, wakaenda kumshawishi Uganda ili waje watuombe Tanzania tuandae wote kumbe wao hawako tayari na hawatokuja kuwa tayari.
 
I can give you hundreds of article from the internet mentioning slums in Dar bongolala. Umesikia?
Article zilizopikwa hapa 👇
downloadfile-112.png
 
Hakuna mtu anatamani kuwa Mkenya ama Mmarekani kuliko Alaska 007 aka The Watchman…he’s so bitter to have been born in Tandale , he wishes it was Kitale…😄😄😄
I'm sure even you ukifa alafu upate nafasi ya kuchagua kati ya Tanzania au Kenya hutofanya kosa tena. My friend hakuna mtanzania anaye wish kuwa raia wa nchi yoyote hapa EA zaidi ya Tanzania, but waganda na wakenya mamia kwa maelfu wana wish siku moja kuwa watanzania, yn mm niiache passport ya Tanzania nichukue ya Kenya? Over my dead body 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Another N.G.O money grab scheme … can’t you see the source … Aliceforchildren …. Am sure they have a video too of little kids with flies on their face … that’s how you make westerners shed tears and open their check book so the Organization CEO can afford that long overdue vacation to Switzerland 🇨🇭…
Slums zenu kamwe aziwezi kuisha kwa kiingereza chenu cha ugoko buddy
 
Apambane ba maisha ya Tandale polepole awache kutamani nchi za wengine
Hahahahahaaa Kenya nayo ni nchi, yn mm na akili zangu niwaze kuwa raia wa nchi mavi kama Kenya? Njaa, slums, ukabila, fujo, lack of opportunities na bado nitamani kuwa mkenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
The same way Somalis and wazungu run everything in kunduland.
🤣🤣 Ati Somalis run everything where? Watu Kenya inalisha na Misaada. Zoomalis ni fukara za kutupwa kama tu Watanzania. Bila Kenya wangeisha wote
Screenshot_20250115-094836~2.png
 
I can give you hundreds of article from the internet mentioning slums in Dar bongolala. Umesikia?
Sisi tunaweka articles na ushahidi wa picha za chini, mna zaidi ya slums 200 in Nairobi alone and moreover the biggest slum in the world iko Nairobi, which accommodates more than 2.5 m slum dwellers, wewe unasema kuna articles zinataja slums in Tanzania and yet tukikuomba picha unaleta za mawinguni. Yes, slums zipo hata ulaya na america, but hizo slums zikiletwa hapo Kenya ni decent houses kwa slum dwellers wa Nairobi, hivyo hivyo kwa Tanzania wanazoita slum huku kwetu zikiletwa kwenu ni decent houses.
 
A dumb bongolala won't comprehend this
But we have food, you don't.

We have peace, you don't.

We have the best infrastructures than you.

There are plenty of opportunities in our country than your shit hole country.

We have the best health services than you that's why we liver longer than you.

We have BRT you don't.

We have electric train you don't.

We have the best airports than you.

Many tourists visit our country than yours.

To make long story short, hakuna kitu mnacho sisi hatuna ila tuna vitu vingi nyie hamna labda slums, tribalism, hunger, witchcraft, and jealous.
 
Back
Top Bottom