Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kila nchi imejipanga iko vzr kasoro wao etu supa pawa 😂😂😂😂 supa pawa haijalipa walimu mishahara miez minne

IMG_2929.jpeg
 
No Kenyan ( unlike you people) will deny we have slums …. But we are against those who exploit the situation through exaggeration just to profit of it .For example Kibera is not half of Nairobi’s population and it’s actually a small area with less population than promoted by NGOs to rake in millions of foreign donations… now you know ..
Slums in Kenya hazipo tu kibera, usitake kuichukulia kibera kama ndiyo sehemu pekee kuna slum. Ndani ya Nairobi pekee kuna ma slums makubwa yanayofanana na kibera, na naskia kwa sasa ma slums yame triple huko Kenya, mko hovyo hovyo hovyo sanaaa, watanzania wote wanaidharau Kenya tena sanaa, mtoto mdogo wa kitanzania ukimuuliza unaifahamu Kenya? Atajibu kwa kuanza na njaa, then slums kwasababu ndiyo kitu wanajua kuhusu Kenya.
 
kila nchi imejipanga iko vzr kasoro wao etu supa pawa 😂😂😂😂 supa pawa haijalipa walimu mishahara miez minne

View attachment 3202377
Tutawaambia hadi lini kwamba CHAN will only be held when Kenya gets ready? Hata hiyo August ifike na ipate Kenya haijamaliza maandalizi bado itahirishwa tu.

In the meantime, jiandae kutazama draw ikifanywa live from East Africa's most important city Nairobi leo usiku. I hope your solar TV has enough charge 😂😂
 
Tusker is a Kenyan brand the same way Guinness is an Irish brand . Simple comprehension pia inakushinda.
Umesema unatuletea makampuni ya wazawa sasa George hust ni mweusi and still yet yeye mmiliki wa Diageo ambayo ndo inaiimiliki eabl kwa 65% na makao yake makuu ni uk
TUSKY iko kwa liquidation.
Ntv is owned by 44& by the agha khan foundation ambayo si kenya kampani
 
Tutawaambia hadi lini kwamba CHAN will only be held when Kenya gets ready? Hata hiyo August ifike na ipate Kenya haijamaliza maandalizi bado itahirishwa tu.

In the meantime, jiandae kutazama draw ikifanywa live from East Africa's most important city Nairobi leo usiku
Mmeshaweka taa za uwanjani au mtatumia vibatari
 
Nakuambia siyo mkenya huyo, you Fool.
There is nothing like an American race but citizenship…even White Americans claim some form of European ancestry, whether it’s German ( like Trump) or Irish ( Biden) … even Blacks are identified with Africa ( African Americans) and they have never been to the continent or even understand anything about Africa. President Obama is recognized as the first Black/African American President in history. So where do you think his “ African “ part came from?……and unlike other African Americans , he knows his roots all the way to Siaya county …please stick to your watchman job.. mambo mengine achana nayo..😁😁😁
 
Umesema unatuletea makampuni ya wazawa sasa George hust ni mweusi and still yet yeye mmiliki wa Diageo ambayo ndo inaiimiliki eabl kwa 65% na makao yake makuu ni uk
TUSKY iko kwa liquidation.
Ntv is owned by 44& by the agha khan foundation ambayo si kenya kampani
Mimi sijaona logo ya EABL kwa picha, mimi nimeona logo ya Tusker na ndio maana nimekuambia Tusker is a Kenyan Brand. Range Rover is a British brand but it's currently owned by an Indian Company. Simple comprehension inakushinda.
 
Tutawaambia hadi lini kwamba CHAN will only be held when Kenya gets ready? Hata hiyo August ifike na ipate Kenya haijamaliza maandalizi bado itahirishwa tu.

In the meantime, jiandae kutazama draw ikifanywa live from East Africa's most important city Nairobi leo usiku. I hope your solar TV has enough charge 😂😂
Lakini si tuliwaambia kwamba nyie ni maskini? Hamna uwezo, sasa angalia wenzenu wote tupo ready, kitu kimefanya muwe bado mpaka sasa? Draw kuchezeshwa kwenu ni kitu cha ajabu? Mbona nyinyi wakenya hamna akili kiasi hiki, yn mmepata aibu kubwa na bado mnajisia na aibu hiyo hiyo, kweli nyie ni viazi wallahi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
There is nothing like an American race but citizenship…even White Americans claim some form of European ancestry, whether it’s German ( like Trump) or Irish ( Biden) … even Blacks are identified with Africa ( African Americans) and they have never been to the continent or even understand anything about Africa. President Obama is recognized as the first Black/African American President in history. So where do you think his “ African “ part came from?……and unlike other African Americans , he knows his roots all the way to Siaya county …please stick to your watchman job.. mambo mengine achana nayo..😁😁😁
Obama anatoka Alaska (pun) 🤣🤣🤣
 
Lakini si tuliwaambia kwamba nyie ni maskini? Hamna uwezo, sasa angalia wenzenu wote tupo ready, kitu kimefanya muwe bado mpaka sasa? Draw kuchezeshwa kwenu ni kitu cha ajabu? Mbona nyinyi wakenya hamna akili kiasi hiki, yn mmepata aibu kubwa na bado mnajisia na aibu hiyo hiyo, kweli nyie ni viazi wallahi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wachana hata na draw peke yake. Even the opening and closing ceremonies will be held in Nairobi too. And the same will apply to AFCON in 2027
 
Back
Top Bottom