Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ownership ya kcb by kenyan government na kenyan ni 29% haya twende kazi
This is the official ownership structure of KCB Bank from their official wesbsite. Hizo figures zako hapo juu sijui umetoa matakoni au
IMG_20250115_112837.jpg
IMG_20250115_112837.jpg
 
That's kibera, your solace. Can I show you Tandale, Buguruni, Chang'ombe, Mazense, Gongo la Mboto, Madale, nk?
Kenya nzima kuna ma slums, hata wewe unaishi kwenye slum, because more than 70% ya wakazi wa Nairobi ni slum dwellers.
Screenshot_20250115-113236~2.png
 
Slums zenu kamwe aziwezi kuisha kwa kiingereza chenu cha ugoko buddy
No Kenyan ( unlike you people) will deny we have slums …. But we are against those who exploit the situation through exaggeration just to profit of it .For example Kibera is not half of Nairobi’s population and it’s actually a small area with less population than promoted by NGOs to rake in millions of foreign donations… now you know ..
 
Wacha kujiliwaza na picha. Naweza kukuletea hundreds of such images kutoka hapo glorified fishing village. Leta data tuongee
Ebu tufanye hiyo challenge nikuletee thousand ya picha za ovyo hapo hapo naikundu,sina hata ya kuchukua picha za turkana au lamu,hapo hapo naikundu itanitosha
 
No Kenyan ( unlike you people) will deny we have slums …. But we are against those who exploit the situation through exaggeration just to profit of it .For example Kibera is not half of Nairobi’s population and it’s actually a small area with less population than promoted by NGOs to rake in millions of foreign donations… now you know ..
Naikundu slum ni kibera tu?
 
Ebu tufanye hiyo challenge nikuletee thousand ya picha za ovyo hapo hapo naikundu,sina hata ya kuchukua picha za turkana au lamu,hapo hapo naikundu itanitosha
The same I can do with your glorified fishing village
 
No Kenyan ( unlike you people) will deny we have slums …. But we are against those who exploit the situation through exaggeration just to profit of it .For example Kibera is not half of Nairobi’s population and it’s actually a small area with less population than promoted by NGOs to rake in millions of foreign donations… now you know ..
Nyie wangese mkiwa behind keyboard mtu atadhani nchi yenu ni first world country
Screenshot_20250112_195650_TikTok.jpg
 
So ulikwepa story za data kuthibitisha ni nchi gani ndio ngome kuu ya umaskini hapa EA ukaonea tufanye mchezo wa kupost poor neighborhoods in Dar and Nairobi? We can do that till dusk but it won't prove anything. Let's talk about data. Picha tutaweka hapa hadi jioni lakini it won't prove anything.

Like I said, there are hundreds if not thousands of pictures of poor neighborhoods in Dar I can post but how long will we do this?
 
Babake mkenya tena ako na jina la kikenya 100%. Hana hata chembe Moja ya jina ya kimarekani
Obama senior was 💯 Kenyan … during my undergraduate studies,I resided the same college campus house he was (though many years later) ..the Gateway House …he’s in a group picture on the wall . He met Obama’s mom on campus….. Likewise my 2 kids are born in the USA to an American mother but that does not deny them their Kenyan blood either.
I met President Obama when he was a senator while visiting his grandparents who resided near the University. He was very familiar about Kenya and spoke some limited Swahili words , he knew his roots well .
 
Back
Top Bottom