Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wachina wanafanya biashara za pesa kubwa Kenya kama vile wanafanya in any other developed country, lakini bongoslum wanashindana na machinga. Huoni aibu na wenzako Kariakoo wanalia kila siku. 🤣 🤣 🤣
pesa gani kubwa ikiwa kila kitu wanamiliki wao mpaka talanta stadium ni yao nyinyi munamiliki nn so far 😂😂😂😂😂
 
Kaongoo kwenye moja na mbili..

Screenshot_20250114_205120.jpg
Screenshot_20250114_205120.jpg
 
I made this comment on 7th January, 7 days later CHAN has been postponed because Kenya is not yet ready. Kenya is powerful.



I doubt if Uganda or Tanzania could have resulted in this tournament being postponed if they were in Kenyan position.


View attachment 3201869
Mngekuwa na nguvu ya kiuchumi mngeshidwa kuwa na viwanja vilivyo tayari mpaka January hii, AIBU AIBU kwa kenya uchumi wa makaratasi
 
Back
Top Bottom