The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Ushakasirika, mm ndiyo furaha yangu hiyo. Itel inakaa hivi?👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yeye ndio alipost sio mimi. Hujui chochote na umejaza picha za Nairobi kwa hio Itel yako.
Ushakasirika, mm ndiyo furaha yangu hiyo. Itel inakaa hivi?👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yeye ndio alipost sio mimi. Hujui chochote na umejaza picha za Nairobi kwa hio Itel yako.
Wewe ni kichaa? Dodoma ni unplanned? Have you ever been to Dodoma?Another unplanned city loading. 🤣🤣🤣
Upo mji wowote hapi kenya kando ya Nairobi wenye unaweza ishinda dodoma katika masuala ya makazi ya watu.? 😂😂😂 nataka unyoonye mkono juu ufanye kama unajikuna.Sasa na residential areas hazina hata barabara za lami, huoni aibu.
🤣 🤣 Planned you say.Najua umeumia kwamba hakuna city ukitoa Nairobi inayoweza kupambana na Dodoma huko Kenya, labda nikuambie tu, Dodoma hata Dar haiiwezi sio tu Nairobi, yn kwa EA hakuna mji wa kisasa uliopangika na hauna slums kama Dodoma, hii ni fahari ya East and Central Africa.
Jamaa bado ana ulimbukeni balaa.Ila wew jamaa ni mshamba sio poa. Unaiona US kama mbingu sijui...poor you
Dunia yote inajua kuwa njaa imewafanya wakenya wawe vichaa
Keti chini na hio Dodoma yako ambayo imejaa unpaved roads.Upo mji wowote hapi kenya kando ya Nairobi wenye unaweza ishinda dodoma katika masuala ya makazi ya watu.? 😂😂😂 nataka unyoonye mkono juu ufanye kama unajikuna.
Keti chini na hio Dodoma yako ambayo imejaa unpaved roads.
View: https://www.youtube.com/watch?v=rwt4Sn_o75M
Unataka kucompare leafy suburbs na zile nyumba za masquatter with unpaved roads. 🤣 🤣Upo mji wowote hapi kenya kando ya Nairobi wenye unaweza ishinda dodoma katika masuala ya makazi ya watu.? 😂😂😂 nataka unyoonye mkono juu ufanye kama unajikuna.
Mbona unanionyesha mapori mkuu.? Nyumba ziko wapi humu.? 😂😂Unataka kucompare leafy suburbs na zile nyumba za masquatter with unpaved roads. 🤣 🤣
![]()
![]()
![]()
Keti chini na hio Dodoma yako ambayo imejaa unpaved roads.
View: https://www.youtube.com/watch?v=rwt4Sn_o75M
Pole, matajiri hawaishi kama kunguni. 🤣 🤣 🤣 Umezoea zile nyumba Dodoma za masquatter. Nyumba ni percent, roof ni 80 percent. 🤣🤣🤣Mbona unanionyesha mapori mkuu.? Nyumba ziko wapi humu.? 😂😂
Kwene vita ya mabomu unakuja na kisu .? Haka ka mradi ka nyumba tatu hizo ndio kataweza nini sasa.? 😂😂😂 ngoja nikusaidie, kwa maendeleo yaliyopo dodoma kwasasa ili hii battle iwe fair kwako, tumia miji yote ya kenya from your second city mombasa.
Sijui ubaongea ujinga gani.? 😂😂😂 karibu kila raia in this Ilazo street alone anamiliki nyumba inayofanana kama hii 👇🏾Pole, matajiri hawaishi kama kunguni. 🤣 🤣 🤣 Umezoea zile nyumba Dodoma za masquatter. Nyumba ni percent, roof ni 80 percent. 🤣🤣🤣
Hizi si ni vibanda za wakulima wa katani .? 👇🏾😂😂Ukona kelele na hakuna kitu unatuonyesha.
![]()
![]()