IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,286
- 9,448
Here is an unknown stadium pale kanduyi bungoma hata haijawai postiwa huku 😂😂Hii ni level ya Siaya Stadium.
Here is an unknown stadium pale kanduyi bungoma hata haijawai postiwa huku 😂😂Hii ni level ya Siaya Stadium.
Juu umesema ama? 😂😂 nani alikuambia ni SUMMA inajengatalanta inajengwa kufuatisha Amahoro stadium mkuu. 😂😂 hilo mbona lipo wazi.?
Amahoro na Talanta vinafanana, aliye design Amahoro ndiye huyo huyo aliye design Talanta, cz mli copy na ku paste. Mlipeleka ombi mjengewe uwanja kama huu 👇👇
View attachment 3199670
But, mchina akaangalia uwezo wenu mdogo hamtomudu kurejesha pesa yake, akawaambia tafuteni design yoyote ya ki Africa ambayo mtaiweza, akawaambia jengeni kama mkapa stadium ambayo ni the best, kwa sabu mna wivu na Tz mkaona ni heri muige huu na sio Mkapa👇👇
View attachment 3199674
Mwishowe mkadondokea humu kwenye tortoise shell 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3199675
But still, Amahoro ni the best than yours, ofcz it's the second best stadium in EA after Mkapa👇👇View attachment 3199676
🙏🙏🔥🔥Siku huu mradi ukianza , Wakundustan watalia kilio kikubwa sana 😂😂$42 billion LNG project in Lindi promises thousands of jobs and economic growth $42 billion LNG project in Lindi promises thousands of jobs and economic growth
Sijazungumza habari za nani anajenga mimi, nimekwambia nyinyi mnajenga Talanta stadium and its design resembles Amahoro Stadium in Rwanda. 😂😂😂Juu umesema ama? 😂😂 nani alikuambia ni SUMMA inajenga
Hamna kitu mmebakisha, huu uwanja umepostiwa zaidi ya mara kumi humu. Alafu kwnn viwanja vyenu mliamua kujenga jukwaa moja moja namna hii?Here is an unknown stadium pale kanduyi bungoma hata haijawai postiwa huku 😂😂View attachment 3199717
Kama kawaida yetu huwa tunawatanguliza mwishowe tunawapiga na kitu kizito kichwani Kama vile sgr, pipeline la Uganda 😁Kwani hamuoni aibu kuchimba foundation mwaka mzima? Na kitu mnachimbia shimo milele ni mini stadium ya 20k seaters pekee.
So your 20k Arusha mini Stadium itakuwa kitu kizito kuliko Talanta which is a 60k stadium? Kweli wewe ni fala na mjinga.Kama kawaida yetu huwa tunawatanguliza mwishowe tunawapiga na kitu kizito kichwani Kama vile sgr, pipeline la Uganda 😁
Arusha stadium will be 30000 seats capacity.So your 20k Arusha mini Stadium itakuwa kitu kizito kuliko Talanta which is a 60k stadium? Kweli wewe ni fala na mjinga.
Dude this proofs your level of reasoning.Sijazungumza habari za nani anajenga mimi, nimekwambia nyinyi mnajenga Talanta stadium and its design resembles Amahoro Stadium in Rwanda. 😂😂😂