Ivi hawa ndugu maandamano yamewasaidia nini toka 1990 wanaandamana ati end of the day linchi linazidi kuzama, wamemchagua RUTO wenyewe na kuleta mdomo wana demokrasia bora ila utumbo mwingi tu. Ona sasa walikua wanatusemaa wee haya kiko wapi ingia tena muandamane.wakenya wote nawatakia heri na fanaka kwenye maandamano yenu ππππ
View: https://x.com/honeyfarsafi/status/1873234341930910138?s=46
View: https://x.com/amenya_nelson/status/1873374101857001758?s=46
View: https://x.com/magwaz3/status/1873246346284761132?s=46
MI kweli mnarudisha alafu kasongo anazichukua anawawakilisha kwa kuwa 2nd corrupt man in the world.Kenyan expert bringing back the money home.
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1873934605755310193
Nilidhani utani kumbe kwa comment watu wanaishi mpaka hongera na mchanganuo wa ujenzi. Aseeeππππππ umaskini mbaya sana
View: https://x.com/copythatke/status/1873658605335167259?s=46
Ni ajabu hadi wenyewe wanaandamana kisa Masai kuhamishwa, wakati masai wa bongo wamehama vizuri tu?Hakuna watu wanao umia kama wakundurenda kwa kuhamisha wamasai ngorongoro
3. Joko Widodo kuna walakini nimeanza mcheki toka yuko meya wa JAKARTA mpaka Raisi jamaa yupo poa ana infrastructure miracles kama za mzee mpaka kuiweka Indonesia kwenye map ya emerging economy in ASEAN.so munatuambia kasongo kaiwakilisha vyema africa ππππ
View: https://x.com/itskipronoh/status/1873955567540351000?s=46
JOKOWI aka Joko Widodo wamuondoe hapo ni kumkosea heshima.so munatuambia kasongo kaiwakilisha vyema africa ππππ
View: https://x.com/itskipronoh/status/1873955567540351000?s=46
Widodo alishatoka kwa kiti, get informed.3. Joko Widodo kuna walakini nimeanza mcheki toka yuko meya wa JAKARTA mpaka Raisi jamaa yupo poa ana infrastructure miracles kama za mzee mpaka kuiweka Indonesia kwenye map ya emerging economy in ASEAN.
Muda huu anajenga mji mkuu mpya Nusantara.
Itabidi nicheki kunanani tena? Sio poa awekwe hapo na failure wa matakoni.
Ni ajabu hadi wenyewe wanaandamana kisa Masai kuhamishwa, wakati masai wa bongo wamehama vizuri tu?
Mwanzo nilikua nipo against ila baada ya kuona hawa nyau wanalikomalia hili suala nikaona kuna uwalakini hapa, ukizingatia wanapakana.
Anyway hakuna habari siitilii manaani eti sijui nchi imeuzwa, ni kitu ambacho hakiwezekani baada ya Magufuli kupitisha sheria ya Permanent Sovereignty on natural resources, hapo ni ngumu kabisa mtu kujimilikisha rasmali za nchi sababu hiyo sheria inatoa nafasi ya kumtimua mwekezaji asiyonufaisha nchi.
Ajabu kwenye sakata la DP WORLD walitaka kuifuta. Ndio nilianza rasmu kuwachukia hawa wajinga. Mijitu inakwambia hakufanya chochote huku wanataka kuingiza nchi matatizoni.
Imagine sheria moja matata ya kutulinda dhidi ya nchi kuibiwa rasmali unataka kuibadili, afadhali kamati ya Bunge iliikataa pendekezo.
Kama ilivyo Land now Natural Resources zimekua under government, mwekezaji akizingua anasepeshwa.
Juu anatumiwa kwa account yake. Tanzanians banaβ¦π€£π€£MI kweli mnarudisha alafu kasongo anazichukua anawawakilisha kwa kuwa 2nd corrupt man in the world.
Wakundustan mnahangaika kweli kuadvertise Kunyaland yenu Tanzania ili watanzania waje huko lakini wapi, mmeweka mpaka kwenye billboards kumarket nchi yenu lakini no one's interested mnawaiga SAIf you have been inside terminal ii jnia, you wouldnβt have the balls to call jkia a colosseum. I took a picture in that terminal 1 year ago. here see for yourself
PS Who told you JKIA has 1 terminal?
View attachment 3188946View attachment 3188947
Also, notice the Fort Jesus Mombasa advertisement
View attachment 3188948
Kwani wewe ulitaka tuwe the same? πππ Corruption level iliopo Kunyaland haipo kwenye nchi yoyote AfricaBoss hii sio habari, ni wakenya wenyewe walivote kum rank the most corrupt hata tunashindwa mbona hakupata number 1 ππ tafuta lingine
We are not the same
Sasa kama mbunge wao mzima kaoza akili kiasi hicho wananchi wana hali gani? Mbunge hajui mapato yote Kunyaland hayatoshi hata kulipa mishahara yeye anasema yanatosha budget ya nchi 8 hizo 8 ni nchi au Kaya? πππ Kwamba Kunyaland wana budget ya kutosha kujenga BRT phases zote, SGR yote, JNHPP yote, EACOP yote, miradi ya REA, madaraja na barabara kilometers 2000, dozens of new airports, maji na nchi nyingine 7? ππmm nimelichukua hilo la mtu mmoja kumiliki 4million acres of landπππππ
Yes, our monthly revenue can run Tanzania efficiently without borrowing even a cent.
Remittance haitumiwi kwa accounts za serikali, kweli watanzania ni wajinga bwanaππMI kweli mnarudisha alafu kasongo anazichukua anawawakilisha kwa kuwa 2nd corrupt man in the world.
Yes, ama unasahau serikali yenu iliwahiomba deni ya Kujenga SGR Kenya?Sasa kama mbunge wao mzima kaoza akili kiasi hicho wananchi wana hali gani? Mbunge hajui mapato yote Kunyaland hayatoshi hata kulipa mishahara yeye anasema yanatosha budget ya nchi 8 hizo 8 ni nchi au Kaya? πππ Kwamba Kunyaland wana budget ya kutosha kujenga BRT phases zote, SGR yote, JNHPP yote, EACOP yote, miradi ya REA, madaraja na barabara kilometers 2000, dozens of new airports, maji na nchi nyingine 7? ππ
Wazee wa GDP kubwa wakiwa wamejificha kwenye mabati!ππalaf hzi ndio nyumba za askari wenuππ
View: https://x.com/ntvkenya/status/1873976177326457055?s=46
Kila mtu anawaza kukimbia Kenya. Mmekuwa taifa la wazibua vyoo Uarabuni na Ulaya.Kenyan expert bringing back the money home.
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1873934605755310193
Pole kwako 60% of Kenyan remittances come from USA where Kenyans are mostly doctors, engineers, directors, CEO and many big titles.Kila mtu anawaza kukimbia Kenya. Mmekuwa taifa la wazibua vyoo Uarabuni na Ulaya.
Ila wakenya wana maisha ya ajabu kweli πππ imagine mtu mpaka social media anaweka hii proudly na society inampa compliments kwamba ni achievement πππ Tanzania watu wanajenga kwa kufuru unakuta nyumba ni refu kama a story building kumbe ni nyumba ya kawaida tu roofing imeenda hewani basi tu bila sababu, wakenya tafuteni siku mfanye study tour Geita kwenye mambo ya ujenzi wa nyumba halafu rudini kwenu ππ mtajiona Choo
View: https://x.com/Ja_GemKathomo/status/1873799805115445675?t=DR7DXjgz3GrgDHIAdKb7Tw&s=19
Kawaulize m23/ Rwanda tushatungua ngapi??Ziko ngapi mkuu, watanzakundu hamuogopi?