Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Show me an electric bus in bongoslum nifunge account sahii.
Wewe unaongea hivi ili upate justification kwamba kuna vitu vipo nairobi na havipo Dar, kitu ambacho sio, yn hakuna kitu kipo Nairobi kikakosa kuwepo Dar, ila kuna vitu kibao (infrastructures) vipo Dar na huwezi kuviona Nairobi, huo ndiyo ukweli, ishi nao.
 
Talanta Stadium

1735417027021.jpeg
 
Wewe unaongea hivi ili upate justification kwamba kuna vitu vipo nairobi na havipo Dar, kitu ambacho sio, yn hakuna kitu kipo Nairobi kikakosa kuwepo Dar, ila kuna vitu kibao (infrastructures) vipo Dar na huwezi kuviona Nairobi, huo ndiyo ukweli, ishi nao.
Ebu tuone hizo electric buses.
 
Kunyaland hukuti hii kitu, wangeshakula mpaka kwato, Tanzania watu wameridhika na wanaheshimu sheria, Kunyaland ni mshale mmoja the rest inakua history

Imagine huku ni bush interior close to national park lakini kuna nyamba nzuri tena zina umeme

View attachment 3187200
You do realize Kenya is second only to Botswana in terms of number of zebras don't you?
 

Do you know the cost of just visiting and filming that tribe? Hebu kajaribu kutalii huko uje utuambie cost.
We get a lot of revenue from Hadza Tourism. Na kaa ukijua watoto wao upelekwa shule nzr na serikali bure.

Jufunze zaidi hapo

View: https://youtu.be/98g-6Vsq3dQ?si=pMzKZ-jwtJuZlLKt
 
Hao ni content creators saivi ndio maana kila hatua wanakua na camera crew na ni famous sana world wide kuna influx kubwa ya wageni kutaka kuja kuwaona na wameshajua wageni wanataka vitu weird, sasa unataka wafanyaje na hela wanataka 😂😂😂 ni futuhi kwa kwenda mbele episode baada ya series
 
Indeed he is , nairobi is a miniature town .I and colleagues once walked from Westlands pale oracle hadi uhuru park it’s just less than 6kms. 6 KMS kwa dar cbd it’s like you are still in cbd mate . Nairobi is 1/3 of the size of Dar
Satellite Images at night show the true size of Nairobi compared to Dar. Nairobi's urban area is 2 times bigger than Dar. A continuous metropolitan area Stretching over 70km from Kiserian to Thika. Wewe unatembea Uhuru park unathani Umeona Nairobi yote 😂😂😂 Take a road trip from ongata Rongai to Juja then you'll have a rough idea of how massive Nairobi is
Screenshot_20241229-034204~3.png
 
Back
Top Bottom