Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Unachozungumza wewe ni tofauti ya machine za kuchimbia mkuu. Since train inapita chini na juu ni barabara ya lami kunapita magari or something that’s a subway.Subway hujengwa na a tunnel boring machine, hio kitu shallow walichimba na excavator ndio wanaita subway ya mzigo. 🤣 🤣 🤣 Ushamba ya bongolalas hunifurahisha sana.