Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimeskia mjapan kagoma kula baada ya kuona hii picha 😂😂😂😂

kenya kuna umaskini wa level yake🙌🏻



IMG_2431.jpeg
 
I call BS on this.
I don’t know the exact market share of Kenyan banks but i know for sure it’s not 3%, just prove it.
KCB alone has a 10% market share in the mortgage market and it’s the second biggest lender after CRDB

View attachment 3186698
View attachment 3186698
Idiot! What is mortage in the whole banking? I am talking of the Share of the whole banking sector!
 
Electrified SGR ndio nini wewe mshamba. Sema electric, na sitakufunza bure tena. 🤣🤣🤣 Kidogo hata mtaanza kutumia the word electrocuted just because you want to sound smart.
Ukiongea bro unajiona smart sana.
Reli inaweza ikawa electrified.
Hata MGR unaweza ukaifanyia electrification na ikaitwa electrified MGR.
Reli ya sgr ya Tanzania ni electrified SGR wewe unachobisha nini!?
Inamaana imeweka mifumo ya umeme ili kuweza kutumia locomotive za umeme.
Bila reli kufanyiwa electrification hizo electric train zingepita hapo juu!??
 
Kunyaland hukuti hii kitu, wangeshakula mpaka kwato, Tanzania watu wameridhika na wanaheshimu sheria, Kunyaland ni mshale mmoja the rest inakua history

Imagine huku ni bush interior close to national park lakini kuna nyamba nzuri tena zina umeme

20241228_190346.jpg
 
Back
Top Bottom