GANJIBHAAI
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 773
- 1,992
Ni vizuri kuskia hivyo hata mimi nilikuwa Nairobi miezi miwili iliyopita, wenyeji wangu ambao ni taasisi kubwa tu walinihost vizuri sana walinipa gari na dereva wa kuniendesha muda wote na nilikuwa naishi kwenye nice apartment, lazima tuwe wakweli NBO is just a typical African City, Ina uzuri na ubaya wake, wacha nikuchape na hii mojaNot gonna lie, I really enjoyed my time in Dar. It has some great spots, amazing people, and good vibes overall, I loved it. But like any other city, it has its good and bad sides. However, when we’re here, some people try to portray it as flawless, almost heavenly, and that perspective, ironically, is flawed in itself.
Some stunning aerial views
View attachment 3185201
View attachment 3185159