Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Your knowledge of events in Kenya and politicians says otherwise. Oh and your media stations also.. be factual
Wanaofuatilia taarifa za kenya ni kwaajili ya hii battle tu. Watu wa kawaida tz hawajui chochote sio tu kuhusu kenya bali ni East africa nzima. They know nothing in to detail, yani ukiachana na wafanya bishara wanaosafiri, watz wa kawaida ni pasua kichwa mkuu 😆
 
Not gonna lie, I really enjoyed my time in Dar. It has some great spots, amazing people, and good vibes overall, I loved it. But like any other city, it has its good and bad sides. However, when we’re here, some people try to portray it as flawless, almost heavenly, and that perspective, ironically, is flawed in itself.

Some stunning aerial views

 
Who is an average Tanzanian?
Watu wa kawaoda mitaani huko ambao hawana hata mpango wa kujua nini kinaendelea social media, waTz wengi mitandao yao ni insta, tick tock na facebook huko, mambo za habari hawajui chochote. They are busy making money. Utawaskia wakisema “niache kutafuta mpunga nihangaike na chadema.?” 😂😂😂 na ndio mana hutawahi kuona maandamano bongo, people are busy with money, sasa ikiwa nchi yao wanaipuuza, unadhani watajua chochote kuhusu kenya.? 😆 haitokei.
 
Acheni upuuzi wenu. Mmemfuatila Magufuli hadi mkadai eti alifia Kenya😁
Hio ndio namaanisha, it’s only key influencial leaders.. my friend sudden death of a individual of a presidential caliber in office is breaking news worldwide… so especially for my neighboring country, I’d have to be so nonchalant/ignorant not to be up-to-date with the news
 
Watu wa kawaoda mitaani huko ambao hawana hata mpango wa kujua nini kinaendelea social media, waTz wengi mitandao yao ni ista, tick tock na facebook huko, mambo za habari hawajui chochote. They are busy making money. Utawaskia wakisema “niache kutafuta mpunga nihangaike na chadema.?” 😂😂😂 na ndio mana hutawahi kuona maandamano bongo, people are busy with money, sasa ikiwa nchi yao wanaipuuza, unadhani watajua chochote kuhusu kenya.? 😆 haitokei.
Hao wa TikTok na Insta ndio sasa worst, hao wanafuatilia Kenya kuliko anything. Watanzania wote wanafuatilia events za Kenya.
 
Not gonna lie, I really enjoyed my time in Dar. It has some great spots, amazing people, and good vibes overall, I loved it. But like any other city, it has its good and bad sides. However, when we’re here, some people try to portray it as flawless, almost heavenly, and that perspective, ironically, is flawed in itself.

Some stunning aerial views
View attachment 3185201
View attachment 3185159
Wavuvi Kempu
IMG_5457.jpeg


This Dj was on fire
IMG_5471.jpeg

IMG_5437.jpeg
IMG_5435.jpeg

This one here Amigos Mexican bar and restaurant - Ousterbay- met the manager and he was Kenyan
IMG_5413.jpeg
 
Back
Top Bottom