Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huo uwanja wa Zanzibar ni moja ya viwanja vinne vitakavyo host Afcon huku Bongo. And it is already aproved. Nitajua uwanja mmoja wa kenya wenye umepitshwa… 😂😂
Ebu tuonyeshe penye imekuwa approved, ama wewe ndio uliaprove?
 
Mmeanza excuse sasa. How can you say transmission is more important than generation wakati hata huo umeme hamna😂😂

Kama kwenye SGR... tuonyeshe 1km.

Kwamba Tz ni wajinga, they don't know to solve their problems
Yes, you don’t know and that’s why there are blackouts everyday in Tanzania. Remember Kenya has more installed electricity than Tanzania.
 
Low number of City photographers in Dar doesn't make Dar to not have a good developing skyline.

Hii ni section ya Ilala Dar es Salaam
IMG-20241227-WA0004.jpg
IMG-20241227-WA0005.jpg
IMG-20241227-WA0006.jpg


IMG-20241227-WA0003.jpg
 

Attachments

  • IMG-20241227-WA0001.jpg
    IMG-20241227-WA0001.jpg
    248.5 KB · Views: 13
Back
Top Bottom