Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila wakunya buana, you are so funny ,
Yaani JUlias Nyerere Dam alone has capacity of 2100MW, ila bado unakuta mkunya anakuja na takwimu zake na amezikumbatia hayuko tayari kuziachia
Hiyo Julius Nyerere ishaanza kufanya kazi bongolala? Kama hiyo takwimu sio sahihi leta yako sahihi tuone. Usiwe mjinga
 
Hata Julius Nyerere Airport has a capacity of 8M but only handles 1.5M. Don’t confuse capacity with reality.
Are you guys stupid or something wakati hitilafu ndogo ya umeme wetu mnakula blackout. Kuwa na adabu kabisa.

1000210600.jpg



Tunaishi kwenye uhalisi ukiona hadi Zambia wanasubiri kuuziwa.





View: https://youtu.be/yf2io4O9o2A?si=1V2jOPDEYNvCgAio


Endeleani kukumbatia vidata uchwara vilivyopitwa na wakati huku mnalipia bill ya umeme huo mnaoukataa haupo.
 
Are you guys stupid or something wakati hitilafu ndogo ya umeme wetu mnakula blackout. Kuwa na adabu kabisa.

View attachment 3184075


Tunaishi kwenye uhalisi ukiona hadi Zambia wanasubiri kuuziwa.





View: https://youtu.be/yf2io4O9o2A?si=1V2jOPDEYNvCgAio


Endeleani kukumbatia vidata uchwara vilivyopitwa na wakati huku mnalipia bill ya umeme huo mnaoukataa haupo.

Capacity Vs Demand
 
So hilo eneo lina better horizontal infrastructure? Nyinyi ni vichaa tu.
Hebu Tazama roads za Makumbusho tu...just a normal Neighborhood.

View: https://youtu.be/_N9MHUJJTL4?si=o40MRN42-vYN8hj7

Hii place haifikii Kilimani hata 40%. Utashinda uklichaguachagua vibarabara alafu unachukua lanes za Kilimani ambazo zimebomolewa due to construction. Mitaa yenu hainanga barabara bro. Hata foreigners wanakuja kwenu wanasema hivo. Barabara huko ni main road pekee.

It is a crime to even think of comparing this place with Kilimani. Hii place ligi yake ni Umoja. Huyo Bertin is a Tz YouTuber trying to show the good side of Tanzania (Which is not a bad thing) so anachukua video upande upande. Makumbusho unfiltered hii hapa. Angalia uone barabara ngapi za vumbi hapo.


View: https://www.youtube.com/watch?v=0HJnf_-YCP4
 
Are you guys stupid or something wakati hitilafu ndogo ya umeme wetu mnakula blackout. Kuwa na adabu kabisa.

View attachment 3184075


Tunaishi kwenye uhalisi ukiona hadi Zambia wanasubiri kuuziwa.





View: https://youtu.be/yf2io4O9o2A?si=1V2jOPDEYNvCgAio


Endeleani kukumbatia vidata uchwara vilivyopitwa na wakati huku mnalipia bill ya umeme huo mnaoukataa haupo.

Vidata uchwara yet you still use the same data to pass across your point. Ama hizo data are only uchwara when they don’t favor you? Your installed capacity is still lower than Kenyan, take that to the bank.
 
Hii place haifikii Kilimani hata 40%. Utashinda uklichaguachagua vibarabara alafu unachukua lanes za Kilimani ambazo zimebomolewa due to construction. Mitaa yenu hainanga barabara bro. Hata foreigners wanakuja kwenu wanasema hivo. Barabara huko ni main road pekee
Brainless girl
 
Nimeishia Hapo uliposema Kilimani ina better horizontal infrastracture😂😂.
Ngoja nikwambie kitu. Wakati nakaa Nairobi niliishi kilimani....
Kilimani ya sasa inaelekea kufanana Roysambu au Pipeline huko.

The way you talk of Dar. Its a clear evidence kwamba hujawahi kanyaga Dar...kwa nini mnapenda kutell lies...yaan nyinyi from your president hadi kwa mama mboga ni lies lies...
Kwenye video yako ya YouTube kuhusu moshi ulionekana kabisa hukuwahi kanyaga Dar.

Halafu if you have been here for while...you may see me commenting on some bad side of Dar. Sijawahi sema hata siku moja kuwa Dar is very perfect...I know well my city...Nimeshauri kila mara hapa on how to improve Dar City Centre...from making it a Tourism hub hadi kuzuia kabisa Nduthi kuingia....

Lakini siwezi kuona ujinga nikakaa kimya...kama unaona hiyo barabara iko sawa then you still have a long way to go. Imagine wew ndo uwe mayor wa Nairobi city halafu upuuzie Barabara kama hiyo...ati iko sawa. Nairobi na GDP yenu ya $60 bigger than Uganda hamshindwi kutengeneza barabara mpya ziwe world class kwa hako kaCBD....

Back to kilimani...hii ndo kilimani sasa 2024
😂😂 Au hapa ni wap

View: https://www.facebook.com/share/v/19xoydwTzL/?mibextid=LVqgqoT8rQke8goU

Mkuu unatembeza vitasa hadi rahaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mitanganyika Kwa kujifariji hamjambo. Tafuteni rika zenu Burundi na Uganda muongee View attachment 3183957View attachment 3183959
LIST OF POWER STATIONS IN KENYA
STATIONTYPECapacity (MW)COMMISION YEAR
1​
Gitaru Hydroelectric Power StationHydroelectric
225​
1999​
2​
Kiambere Power StationHydroelectric
165​
1988​
3​
Kindaruma Hydroelectric Power StationHydroelectric
72​
1968​
4​
Masinga Hydroelectric Power StationHydroelectric
40​
1981​
5​
Gogo Power StationHydroelectric
2​
1957​
6​
Kamburu Hydroelectric Power StationHydroelectric
93​
1974​
7​
Mesco Power StationHydroelectric
0.4​
1930​
8​
Ndula Hydroelectric Power StationHydroelectric
2​
1924​
9​
Sagana Power StationHydroelectric
1.5​
1956​
10​
Sang'oro Hydroelectric Power StationHydroelectric
21.2​
2013​
11​
Sondu Miriu Hydroelectric Power StationHydroelectric
60​
2007​
12​
Tana Hydroelectric Power StationHydroelectric
20​
2010​
13​
Turkwel Hydroelectric Power StationHydroelectric
106​
1991​
14​
Wanjii Hydroelectric Power StationHydroelectric
7.4​
1952​
15​
Sosiani Power StationHydroelectric
0.4​
1955​
16​
Olkaria I Geothermal Power StationGeothermal
268.3​
17​
Olkaria II Geothermal Power StationGeothermal
105​
18​
Olkaria III Geothermal Power StationGeothermal
139​
19​
Olkaria IV Geothermal Power StationGeothermal
140​
20​
Olkaria V Geothermal Power StationGeothermal
158​
21​
Kipevu I Thermal Power StationHeavy fuel oil
63​
1999​
22​
Tsavo Thermal Power StationHeavy fuel oil
75​
2001​
23​
Nairobi South Thermal Power StationHeavy fuel oil
109​
1997​
24​
Gulf Energy Thermal Power StationHeavy fuel oil
80​
2014​
25​
Biojoule Thermal Power StationBiogas
2.6​
2015​
26​
Baringo Thermal Power StationBiogas
10.8​
2015​
27​
Thika Thermal Power StationHeavy fuel oil
87​
2012​
28​
Rabai Thermal Power StationHeavy fuel oil
90​
2009​
29​
Ngong Hills Wind Power StationWind
25.5​
1993​
30​
Lake Turkana Wind Power StationWind
310​
2018​
31​
Kipeto Wind Power StationWind
100​
Jan-21​
TOTAL
2579.1​
kna jumla ya power stations 31 kenya zinazozalisha 2579.1 mw hizo zilizozidi mnanunua kwingine
1735055277103.png

 
Congratulations Tanzania U-17 for qualifying for TotalEnergies U-17 Africa Cup of Nations.

View attachment 3183995


1. Senior Men team (Taifa Stars) -Qualified AFCON 2025

2. Senior Women NT (Twiga Stars) - Qualified WAFCON 2025

3. Tanzania U20 NT -Qualified AFCON 2025

4. Tanzania U17 NT- Qualified AFCON 2025

5. Tanzania U15 NT- Champions of African Schools Competition

6. Yanga & Simba are in group stage of CAF Champions League
A football nation.
 
Keshaanza kuiogopa talanta 👆 😂😂😂
sisi tushawazoea kwa project zisizokamilika
The dropped gas-powered power plant was part of the government’s plan to add 5,000MW to the grid from 2013 to spur economic growth.
Among the bidders were China Petroleum, Tata Power in consortium with Gulf Energy, Globeleq, Mitsui and Company, Toyota Tyusho, Marubeni Corporation, Samsung C and T, GMR Energy, Quantum Power and GDF Suez.

According to the terms of the botched tender, companies were required to show the ability to raise at least $1 billion (Sh103 billion) at competitive terms and have strong balance sheets, with a minimum of $200 million (Sh20.6 billion).The successful bidder for the Dongo Kundu plant was required to build a floating storage and re-gasification unit with sufficient capacity and infrastructure to supply natural gas to power plants using heavy fuel oil.
In July 2014, Kenya announced the discovery of commercially viable gas in Wajir after a successful exploration in Hadado, raising expectations of tapping the gas for power production.

Initially, Kenya was looking to build a pipeline to move natural gas from gas-rich neighbouring Tanzania to Mombasa, a deal which never materialised.
Kenya has also been cautious in its quest to construct more power plants, fearing the economy could be left with excess power and force consumers to pay for capacity charges on idle plants.
In the financial year 2023/2024, Kenya imported 1,199.8 GWh of electricity to offset demand and stabilize the grid.
yaan mnaona muimport umeme badala ya kujenga eti mnaogop overcapacity
 
Back
Top Bottom