instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,602
- 19,781
Ni kweli kabisa...hata Barabara ya kutoka lungalunga mpaka likoni mombasa ni kama Barabara za vijiji.Nimepita barabara zao kuu nyingi Nairobi Nakuru Nyaruhuru kiganjo nanyuki nyeri Meru hizi trunk roads zao ziko kama barabara za countryside/kijijini huku kwetu.