instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,544
- 19,491
Nimeishia Hapo uliposema Kilimani ina better horizontal infrastracture😂😂.Umeenda kwa story nyingi sasa unapost picha za Ubungo za highways na artery roads na projects ambazo already kila mtu kwa hii thread anazijua wakati mimi nimekuambika kitu kidogo sana kwamba hiyo barabara uliyopost ukasema ni mbovu iko better than 99% ya barabara za Dar CBD. Wacha nikuoneshe kwa picha.
Picha uliyopost ukasema barabara ni mbovu hii hapa.
![]()
Barabara za Dar CBD hizi
View attachment 3183827View attachment 3183828
So utasemaje hiyo barabara ya Kenya ni mbovu alafu hizo nilizopost za Dar CBD useme ni poa? Are thos the roads that you call world class?
Lastly, why do you keep on telling me to come to Dar? Why don't you come to Nairobi too considering you have a very skewed view of Nairobi saying ignorant stuff like Kilimani has poor horizontal infrastructure when Kilimani in fact has better horizotal infrastructure than ALL your neighborhoods in Dar. FYI, I have been to Dar before and don't worry, I shall come again but do also make a visit to Nairobi and view it in a non-biased way to stop making ignorant statements but If you can say that road you posted above is a bad road then it's quite clear you're more interested in scoring a point than saying the truth.
You know instanbul, you don't cross me as a vile guy like some of your brothers on this thread, you sound like a decent human but the problem with you is you hypocrisy. You can see something in Dar and say it's very nice and yet a similar or even better thing like that in Kenya you'll pots and say how poor quality it is. I don't think there's anyone in the world who'll say the road you posted is poor quality even people from the developed world and you know it.
Ngoja nikwambie kitu. Wakati nakaa Nairobi niliishi kilimani....
Kilimani ya sasa inaelekea kufanana Roysambu au Pipeline huko.
The way you talk of Dar. Its a clear evidence kwamba hujawahi kanyaga Dar...kwa nini mnapenda kutell lies...yaan nyinyi from your president hadi kwa mama mboga ni lies lies...
Kwenye video yako ya YouTube kuhusu moshi ulionekana kabisa hukuwahi kanyaga Dar.
Halafu if you have been here for while...you may see me commenting on some bad side of Dar. Sijawahi sema hata siku moja kuwa Dar is very perfect...I know well my city...Nimeshauri kila mara hapa on how to improve Dar City Centre...from making it a Tourism hub hadi kuzuia kabisa Nduthi kuingia....
Lakini siwezi kuona ujinga nikakaa kimya...kama unaona hiyo barabara iko sawa then you still have a long way to go. Imagine wew ndo uwe mayor wa Nairobi city halafu upuuzie Barabara kama hiyo...ati iko sawa. Nairobi na GDP yenu ya $60 bigger than Uganda hamshindwi kutengeneza barabara mpya ziwe world class kwa hako kaCBD....
Back to kilimani...hii ndo kilimani sasa 2024
😂😂 Au hapa ni wap
View: https://www.facebook.com/share/v/19xoydwTzL/?mibextid=LVqgqoT8rQke8goU