Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamani hawa jirani zetu wengi wana matatizo ya afya ya akili halafu watanzania tukiwaambia wanajifanya wajuaji.
Hivi mtu unaejitambua utapangaje line ya more than 5 kilometres kusubiri mafuta ya kupikia yenye thaman ya 15ksh🤣🤣🤣🤣
Shangaa hapo imagine kuokota soda za jero ya bongo kwenye roli lilioanguka. Matajiriiiii
 
nairobae NairobiWalker What have you achieved in football 2024?

1735021227137.png
 
Wasn't my comment in response to you mentioning projects under pipeline after I beat you 10-0 in existing projects? Ama Gani zingine unataka kuweka? Ama utaweka 1690km from Mtwara to Mwanza kama mwendawazimu mwenzako concordile 101 ?
Sasa nani mwendazimu kama sio weye unayeshindwa kutofautisha planned roads ba existing road . Usikimbie topic jana umenyosha mikono hukuwa na hoja kuanzia kufake km za barabara mpka kuomba poooh
 
This road is in good condition and better that 99% of roads in Dar CBD. Unakuwanga na ujinga wa kuwa na extremely high standards when talking about Kenya but hizo standards zinapotea ukiongekea Tanzania. Nakumbuka Kuna siku nilipost video ya Rosslyn hapa na Barabara nzuri tu ukasema ni za ovyo halafu baadae unapost hapa video sijui ilikuwa ya Mbezi ama Masaki Barabara 80% vumbi alafu Ile yenye lami haina hata drains na ni chafu na ulikuwa unainsist ni Barabara poa. Sema ng'we nikupostie Barabara za Dar CBD ulinganishe.
Barabara za Dar cbd zipi? City Centre ya Dar sasa imefumuliwa wanajenga BRT systems ambayo inacontain World class roads nyingine ni concrete kabisa. Nilijitolea kukuhost..ili uje utoe ushamba...maana unaongea kimawazo tu.
Hako kanairobi CBD ni kadogo sana kwa nchi yenye GDP ya $114b kufumua barabara zote na kujenga upya barabara za kapital city...barabara za Nairobi CBD hazifiki 5km.
Wew uko unatetea ujinga hapa...na sio kwamba Dar is too perfect lakin hatuna masifa kama nyinyi mnaosifia hicho kijiji kama ni level ya Singapore

Hebu Tazama barabara za Dar... ubungo area 10km from CBD.

View: https://youtu.be/kXFNLfE6HMo?si=xHlji1HmngOuZ9Pr

By the way Tanzania sio wajinga kujenga capital mpya.
Barabara za capital city zinafanana hivi

View: https://youtu.be/YEU_QbKu-L8?si=OOIkCaQUo3RcDS9K

Acha kutetetea upumbavu
 
Wasn't my comment in response to you mentioning projects under pipeline after I beat you 10-0 in existing projects? Ama Gani zingine unataka kuweka? Ama utaweka 1690km from Mtwara to Mwanza kama mwendawazimu mwenzako concordile 101 ?
Hivi ni nchi gani duniani iliwahi uza mke kwa ajili ya kupata soda. Mtasema mnakili nyinyi
 
Barabara za Dar cbd zipi? City Centre ya Dar sasa imefumuliwa wanajenga BRT systems ambayo inacontain World class roads nyingine ni concrete kabisa. Nilijitolea kukuhost..ili uje utoe ushamba...maana unaongea kimawazo tu.
Hako kanairobi CBD ni kadogo sana kwa nchi yenye GDP ya $114b kufumua barabara zote na kujenga upya barabara za kapital city...barabara za Nairobi CBD hazifiki 5km.
Wew uko unatetea ujinga hapa...na sio kwamba Dar is too perfect lakin hatuna masifa kama nyinyi mnaosifia hicho kijiji kama ni level ya Singapore

Hebu Tazama barabara za Dar... ubungo area 10km from CBD.

View: https://youtu.be/kXFNLfE6HMo?si=xHlji1HmngOuZ9Pr

By the way Tanzania sio wajinga kujenga capital mpya.
Barabara za capital city zinafanana hivi

View: https://youtu.be/YEU_QbKu-L8?si=OOIkCaQUo3RcDS9K

Acha kutetetea upumbavu

Mwambie kwanza akuletee road network inayofikisha hata km 1500 kwa ksh nzima
 
Juzi wakati tunafunga seminar ya mwaka Bomba la mafuta ,Eacop kulikuwa kuna time ya question&Answer sasa kuna jamaa akauliza why walichange route kutoka kenya bandari ya mombasa hadi Tz tanga wakati walikuwa wameshaanza hadi engineering design.
Yule Mfaransa alijibu short and Clear kuwa hawawezi risk project ya mabilioni ya dola kwenye nchi takataka kama kenya yenye political instability na watu wasiojielewa kiufupi wakenya wengi wanamatatizo ya akili yanayotokana na maisha magumu.
 
Teargas nairobae NairobiWalker Mambo kama haya yanawauma sana wakenya

1735022267678.png
 
Barabara za Dar cbd zipi? City Centre ya Dar sasa imefumuliwa wanajenga BRT systems ambayo inacontain World class roads nyingine ni concrete kabisa. Nilijitolea kukuhost..ili uje utoe ushamba...maana unaongea kimawazo tu.
Hako kanairobi CBD ni kadogo sana kwa nchi yenye GDP ya $114b kufumua barabara zote na kujenga upya barabara za kapital city...barabara za Nairobi CBD hazifiki 5km.
Wew uko unatetea ujinga hapa...na sio kwamba Dar is too perfect lakin hatuna masifa kama nyinyi mnaosifia hicho kijiji kama ni level ya Singapore

Hebu Tazama barabara za Dar... ubungo area 10km from CBD.

View: https://youtu.be/kXFNLfE6HMo?si=xHlji1HmngOuZ9Pr

By the way Tanzania sio wajinga kujenga capital mpya.
Barabara za capital city zinafanana hivi

View: https://youtu.be/YEU_QbKu-L8?si=OOIkCaQUo3RcDS9K

Acha kutetetea upumbavu

Umeenda kwa story nyingi sasa unapost picha za Ubungo za highways na artery roads na projects ambazo already kila mtu kwa hii thread anazijua wakati mimi nimekuambika kitu kidogo sana kwamba hiyo barabara uliyopost ukasema ni mbovu iko better than 99% ya barabara za Dar CBD. Wacha nikuoneshe kwa picha.

Picha uliyopost ukasema barabara ni mbovu hii hapa.

1734963988589-jpg.3183696

Barabara za Dar CBD hizi
Screenshot 2024-12-24 101849.png
Screenshot 2024-12-24 101907.png

So utasemaje hiyo barabara ya Kenya ni mbovu alafu hizo nilizopost za Dar CBD useme ni poa? Are thos the roads that you call world class?

Lastly, why do you keep on telling me to come to Dar? Why don't you come to Nairobi too considering you have a very skewed view of Nairobi saying ignorant stuff like Kilimani has poor horizontal infrastructure when Kilimani in fact has better horizotal infrastructure than ALL your neighborhoods in Dar. FYI, I have been to Dar before and don't worry, I shall come again but do also make a visit to Nairobi and view it in a non-biased way to stop making ignorant statements but If you can say that road you posted above is a bad road then it's quite clear you're more interested in scoring a point than saying the truth.

You know instanbul, you don't cross me as a vile guy like some of your brothers on this thread, you sound like a decent human but the problem with you is you hypocrisy. You can see something in Dar and say it's very nice and yet a similar or even better thing like that in Kenya you'll pots and say how poor quality it is. I don't think there's anyone in the world who'll say the road you posted is poor quality even people from the developed world and you know it.
 
Juzi wakati tunafunga seminar ya mwaka Bomba la mafuta ,Eacop kulikuwa kuna time ya question&Answer sasa kuna jamaa akauliza why walichange route kutoka kenya bandari ya mombasa hadi Tz tanga wakati walikuwa wameshaanza hadi engineering design.
Yule Mfaransa alijibu short and Clear kuwa hawawezi risk project ya mabilioni ya dola kwenye nchi takataka kama kenya yenye political instability na watu wasiojielewa kiufupi wakenya wengi wanamatatizo ya akili yanayotokana na maisha magumu.
Saa zingine ukiongea uongo jaribu kusema vitu vinavyoweza kuaminika. Unadhani the French hawana akili kama wewe waite nchi nyingine takataka wakati wanajua wana investments na bilateral relations na hiyo nchi? Nina uhakika hujawai attend seminar yoyote ndio maana uko clueless hivi.
 
Back
Top Bottom