Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dasilinga
IMG_3296.jpeg
IMG_3298.jpeg
IMG_3298.jpeg
kama mbele vile
 
Ebu tuonyeshe penye tumesema hizo ni kampuni za Kenya. Najua Unaumia kwamba hizo kampuni decided to put up a manufacturing plant in Kenya and all the Unilever products mnatumia Tanzania zimetoka Kenya zote😂😂
mm natumia milo inayotoka south africa na sijawah kuona sehem yoyote milo imetoka kenya kwa hapa tanzania even colgate ni either south africa or malaysia sasa mm nakushangaa sana munaenda mbio kisa ruto kawaambia ukweli kua tanzania inauza zaidi kenya kuliko kenya inavouza tanzania 😂😂😂
 
Nilijua lazima wakenya wanahusika kwenye hujuma miundombinu ya SGR yetu, sasa wakenya wataonja joto ya jiwe, wanajuta kuijua Tanzania


View: https://youtu.be/CzRmN_h2H7w?si=Q9OZiY0rsPrwHEMF

Asee ***** huo mzigo wote?

Wameihujumu treni
Wametishia maisha ya watu 1m wanaotumia SGR
Wameichafua serikali haiko makini na mradi.
Wamefanya mradi uwe doubted na performance
Tumechekwa na kuchafuliwa PR ya Mradi.

Yote wameihujumu nchi pesa zilizotumika kununua hapo.

Inatakiwa washughulikiwe na kila aina ya mateso na kukaa jela maisha yao yote na kazi ngumu.

WAPUMBAVU SANA
 
Nilisahau, pia viwanda vyao wa sukari huwa wana import sukari Brazil na kuiba nyingine kule Somalia ambayo ipo tayari kwa matumizi then wanafunga kwenye packages zao. 😂😂😂

View: https://x.com/iamjoseh_/status/1591067637949542400?s=46


View: https://x.com/edgarwabwire_/status/1867524191085638122?s=46

Hawa ndugu wana aibu sana.

No wonder wanaogopa sana protectionism ya majirani zao.

Imagine almost products wanazojitapa sio zao kabisa ni za Kampuni ya nje, wameweka tu base pale.

Ukisikia ban kesho wanapiga magoti kubembeleza uachie, sasa Tanzania tukizuia bidhaa si automatically makampuni hayo international yanafunga vilago wanaenda nchi nyingine maana wao ni global sio local.

Unakuta mtu anapanua sanduku la meno eti SCANIA MARCOPOLO ni zao yaani unaona kabisa hata jina tu ni Kampuni mbili na sio za Kenya tu. Kisa kastika ka mfunganati garage AVA.

Hawaoni uganda hana cha SCANIA wala POLO, ana KAYOOLA EVS FROM KIIRA MOTORS hiyo ndio inatakiwa kuletewa.

Inasikitisha sana. Sasa hapo wakila kikwazo kimoja cha bidhaa si watapotea mazima comparing to Tanzania ambayo local goods ni nyingi na zinazalishwa hapa hapa.
 
Nilisahau, pia viwanda vyao wa sukari huwa wana import sukari Brazil na kuiba nyingine kule Somalia ambayo ipo tayari kwa matumizi then wanafunga kwenye packages zao. 😂😂😂

View: https://x.com/iamjoseh_/status/1591067637949542400?s=46


View: https://x.com/edgarwabwire_/status/1867524191085638122?s=46

Usisahau na parachichi zetu. Wesenge wakubwa now tunafinya mdogo mdogo unaona wanavyokosa masoko sababu hawana tena.

Ifike muda serikali iangalie kuwapelekea finished products sio raw has agricultural.
 
yani kampuni ya UK mtu analazimisha iwe ya kenya na sijui hua wanapata faida gani yani 2024 bado unataka kushindana na internet 😂😂😂😂😂😂

wakenya ni binaadamu wa ajaby kuwahi kutokea kwenye dunia hii
Ndio unashangaa hapo Hushangai wao kujipa sifa za MARCOPOLO anazotoa kwa SCANIA kutengeneza Polo buses?

Utasikia Irzar chasis inatokea Kenya, yaani hata jina IRZAR hawataki kujua ni nini?

Wanajikuta dunia nzima wao tu ndio wanaproduce Marcopolo kisa kastika ka garage ya wafunganati.
 
Mtu akiskia vile watanzania wanaongea haezijua mko na flyover Tatu pekee nchi nzima😂

Progress

View: https://youtu.be/3rj0eMCA0MA?si=NULFhmF1hX29wa6G

Mbona unarudia rudia kijana? Mkivizia kamradi kamoja mnaanza kukapamba as if not big deal muda huo huo unarudia rudia kutikisa makalio.

Eti flyover watu tupo tunatandaza 3km Bridge ambayo mmekua mnaota na kupata ndoto nyevu "Mombasa gate bridge"

Flyover kweli nchi ya GDP kubwa inapigia kelele Flyover?
 
Back
Top Bottom