Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona umetafuta slum umekosa umebaki kujifariji.
Umesahau Dar yote ni slum?
Screenshot_20241218-173504.png
Screenshot_20241218-173907.png
 
Kama sio zenu mbona mnajipa umhimu wa kila bidhaa yao?
Kwa sababu zinatengenezwa Kenya ila hakuna hata Moja inatengenezwa Tanganyika. We were just reminding you that everytime you use a Uniliver product hapo Tandale, there's a 99.99% chance that it came from Kenya. It was that simple!
 
Umesongesha map just to prove my point. The previous screenshot si ilikua na barabara moja ya lami apart from the highway. Kumbe lami ni za kutafutwa. 🤣 🤣 🤣
Bro mbona hiyo ni same place manzee.? Au kama kawaida yako kutafuta pakufia.? 😂😂😂
 
Mbona unarudia rudia kijana? Mkivizia kamradi kamoja mnaanza kukapamba as if not big deal muda huo huo unarudia rudia kutikisa makalio.

Eti flyover watu tupo tunatandaza 3km Bridge ambayo mmekua mnaota na kupata ndoto nyevu "Mombasa gate bridge"

Flyover kweli nchi ya GDP kubwa inapigia kelele Flyover?
Hizi hasira zote ni kwa sababu ninewaambia Tanzania only have three flyovers nchi nzima?

Sasa unashangilia bridge ya 3km kwa wenye wako na barabara za lami za 25,000km? Akili yako iko sawa kweli?

Hatupigi kelele ya flyover, tunawakumbusha tu kwamba Tanzania nzima only have 3 flyovers. Wakazi wa Arusha na Mwanza hata hawajui flyover ni nini sababu hawajaiona. Hata wengi wenu humu hamkujua flyover ni nini vile thread ilianza.
 
Halafu Hawa centunion ni balaa kwa quality na beauty. Ni wao waliunda T-Mall interchange. Expect kitu kaa hiyo hapa. I hope wataendelea kuchukuliwa. Ubaya wanakuwanga slow in comparison to Chinese.
Wao ndio walijenga T-Mall? Tyen i expect sometging good from them. Tanzania kuna hata flyover ya steel kweli?😂
 
Back
Top Bottom