Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do you know disadvantages of using products kept in a fridge for months?
Kumbe ndo maana wakenya wengi hamna nuru na afya....i lived in Nairobi...aisee kupata chakula nzr mtaani ni kazi....mimi nilikuwa nakula kwenye hotel za waswahili kule CBD kama sitaki kupika hiyo siku...
Na ubaya zaidi mko proud na hamuoni shida kisa na wazungu wanafanya hivyo...

Imagine unakula nyanya na samaki aliyekaa kwenye fridge mwezi? Na bado uliponunua kwenye supermarket zilikuwa kwenye fridge....Kwan mlikuja kuteseka hapa Duniani.?...na mnajisifia mna disposable income?
Poor man mentality.
 
According to your national statistical body KIA handles less passengers than Kisumu. I trust the statistical data more than roadside declarations.
And yet no single international flight lands at Kisumu local airport! Those r the latest data! And btw those r the numbers for tourists alone, how about nornal PAX? KIA should be handling at least 1.4 PAX by now!
 
We already established you're a poor man. You probably don't use toothpaste otherwise ungejua Colgate is not a Unilever product. Muache kujiaibisha. Colgate is not Omo. Omo is a Unilever product. I dare you post a photo of Omo from Tanzania and show us the made-in tag.
I visited Tanzania in 2005 or 6, I can't even recall when exactly.
And, BTW, yaani naanzaje kujua ama kujifunza ujinga wa kukariri manufacturers wa kila item ninayo nunua?
 
I visited Tanzania in 2005 or 6, I can't even recall when exactly.
Meaning your arguments here are based on ignorance.

And, BTW, yaani naanzaje kujua ama kujifunza ujinga wa kukariri manufacturers wa kila item ninayo nunua?
Sasa mbona una-argue vitu hujui? If you have no knowledge of something then don't take part in discussions about it. Simple.
 
But I have traveled to your beloved country countless time boy , Mara ya kwanza nakuja Kunya ilikuwa 2014, I resided at the Boma hotel, then came several times , nimefikia Tamarind tree hotel, Intercontinental Hotel, Ibis Hôtel kule Westlands, Ole sereni kule langata, Pia nilifika mombasa, stayed at Sarova white sands hotel,
One good experience with that your country is that I met a girl for sure , she was so beautiful and humble and wise and intelligent, not like majority of you humu.. tho she is married but she will visit bongo this holiday and here I am to host her.

And you have not yet stepped your limb outside that godforsaked country. Travel first boy. Travel.
Ole Sereni Gani Iko Lang'ata wewe bongolala? Kuna Moja ulijenga huko?
 
yani kampuni ya UK mtu analazimisha iwe ya kenya na sijui hua wanapata faida gani yani 2024 bado unataka kushindana na internet 😂😂😂😂😂😂

wakenya ni binaadamu wa ajaby kuwahi kutokea kwenye dunia hii
Endeleeni kutumia Kenyan made products hapo Vumbistan.
 
What of those many slums?
In very specific places. Not spread all over like your uswazi hovels

Look at Kibera and the surrounding areas
Screenshot_20241218-113340.png

Then compare with your glorified fishing village
Screenshot_20241218-113146.png
 
Back
Top Bottom