babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,906
Waaaa kumbe hio skyscrapper ikona barabara ya vumbi nyuma. 🤣 🤣 🤣Kama nyuma vile 🤣View attachment 3179561View attachment 3179563
Mtu akiskia vile watanzania wanaongea haezijua mko na flyover Tatu pekee nchi nzima😂
Progress
View: https://youtu.be/3rj0eMCA0MA?si=NULFhmF1hX29wa6G
Mtu akiskia vile watanzania wanaongea haezijua mko na flyover Tatu pekee nchi nzima😂
Progress
View: https://youtu.be/3rj0eMCA0MA?si=NULFhmF1hX29wa6G
Naona umetafuta slum umekosa umebaki kujifariji.Kama nyuma vile 🤣View attachment 3179561View attachment 3179563
Shida ya hizi picha ni ipi manzee.?Kama nyuma vile 🤣View attachment 3179561View attachment 3179563
Jamaa anaumia anatumia propaganda za kukiita kizuri kibaya ili watu wasiwe wanazitupia picha hizo hapa. Jamaa anaumia sana.Shida ya hizi picha ni ipi manzee.?
Ngoja nikusogezee karibu, this is one of the places in Dar es Salaam zenye zinaendelea mbaya. 👇🏾Kama nyuma vile 🤣View attachment 3179561View attachment 3179563
Tena hilo eneo kwasasa limeendelea kupata gorofa zake za kucheba. Muache akeze fuvu tu. 😂Jamaa anaumia anatumia propaganda za kukiita kizuri kibaya ili watu wasiwe wanazitupia picha hizo hapa. Jamaa anaumia sana.
Mbona kuna barabara ya vumbi next to a skyscraper?Shida ya hizi picha ni ipi manzee.?
Apart from the highway, barabara ya lami ni moja tu. 🤣 🤣 🤣Ngoja nikusogezee karibu, this is one of the places in Dar es Salaam zenye zinaendelea mbaya. 👇🏾View attachment 3179621
Huo ni ukuta wa AgakhanMbona kuna barabara ya vumbi next to a skyscraper?
Babara ikiwa ya vumbi ndio gorofa linavunjika au labda ni nini yani.? Mana sikuelewi wew na huyo mpuuzi mwezio.Mbona kuna barabara ya vumbi next to a skyscraper?
Halafu kati ya watuhumiwa Wakenya wapo!Asee ***** huo mzigo wote?
Wameihujumu treni
Wametishia maisha ya watu 1m wanaotumia SGR
Wameichafua serikali haiko makini na mradi.
Wamefanya mradi uwe doubted na performance
Tumechekwa na kuchafuliwa PR ya Mradi.
Yote wameihujumu nchi pesa zilizotumika kununua hapo.
Inatakiwa washughulikiwe na kila aina ya mateso na kukaa jela maisha yao yote na kazi ngumu.
WAPUMBAVU SANA
Ghorofa kama hio haifai kua na barabara ya vumbi. Wangeweka hata cabro, wacheni aibu. 🤣 🤣 🤣Babara ikiwa ya vumbi ndio gorofa linavunjika au labda ni nini yani.? Mana sikuelewi wew na huyo mpuuzi mwezio.
Ukuta gani hio? unadhani sisi ni mafala. 🤣 🤣 🤣Huo ni ukuta wa Agakhan
Ni wewe tu sasa, pata kujionea vizuri hiloeneo sahii linatandikwa lami na zege tu like every single street. 👇🏾Apart from the highway, barabara ya lami ni moja tu. 🤣 🤣 🤣
Siyo kuwa tunadhani, ninyi ni mafala siku zote. 🤣 🤣 🤣Ukuta gani hio, unadhani sisi ni mafala. 🤣 🤣 🤣
![]()
Umesongesha map just to prove my point. The previous screenshot si ilikua na barabara moja ya lami apart from the highway. Kumbe lami ni za kutafutwa. 🤣 🤣 🤣Ni wewe tu sasa, pata kujionea vizuri hiloeneo sahii linatandikwa lami na zege tu like every single street. 👇🏾View attachment 3179668wew unadai kuna lami moja tu apart from highway. 😂😂