Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hadi Soko Ugali, Soko Wimbi na Soko wheat flour pia iko Tanzania? But I thought wanatulisha😂😂😂😆
Ni kama hiyo mahindi yao huwa tunasiaga tunapack halafu tunawauzia bei ghali zaidi kuliko yenye tulinunua nayo kwao. 😂 😂
 
Mara nyingi maisha ya monthly budget yapo sana kwenye nchi zenye ugumu wa maisha na shida kubwa ya chakula kama Kenya, South Africa na nchi zingine ambazo makali ya capitalism yameshika hatam.

Hivyo: that very moment an arrogant slave had received their pay, earned under very poor working conditions, stockpiling as much food as they can is an act of paramount importance. Those with no or unqualified for a mortgage, their next and smartest allocation is rent. Lastly is transport to and from their point of slavery wanaota kazini. 😂 😂 😂

Ndio maana, Wakenya na South Africa kila cent wanayotumia wanaingalia kama mboni ya dicho. Maisha yao ni ajira tu ndio ujanja, nje ya hapo hakuna maisha. Na kitu pekee cha msingi kazi na mshahara humletea mtu shibe ya chakula hakuwahi kuwa anakula tangu azaliwe. Ndio maana both of these societies are breeding sites of savages and sadists.
You're clearly a poor person with no rich friends.
 
You're clearly a poor person with no rich friends.
Monthly budgeting is done all over the world. And only people with money are the ones capable of doing so.

Alafu fukara from Vumbistan anakuja kusema ati only poor people ndio wanafanya monthly budgeting, poor person atoe pesa wapi ya kufanya budget ya over 10k na alipe bills zake pia?😂😂
 
Viwanda vya nguo vinazidi kupamba moto Tanzania. Kundudwellers zinapiga kelele kwenye social media

Wafanyakazi wakiendelea na shughuli za uzalishaji wa nguo katika Kiwanda cha Took Garmet kilichopo Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA), Ubungo External, Dar es salaam.

1734437763266.png
 
I like it when we prove them with facts like this. Wao ni domo tu, nothing factual
Hehehe kitu najua hawapendi ni kwamba all the Unilever products in Tanzania were manufactured in Kenya. Wangekuwa na uwezo wangehamisha hiyo factory ya Unilever from Kenya to even Burundi hili wapate furaha😂😂
 
Mimi sijawai kuona Azam juice na Ice cream kwa supermarket za Nairobi. Pengine zinauzwa kwa duka ndogo.
Kuna energy drink moja pekee ya Azam ilikuwa popular Kenya ikitokea. Nadhani iliitwa Azam Energy drink ila siku hizi haipo tena. Watu wamerudi kwa Red Bull, Monster na Predator.
 
Kuna energy drink moja pekee ya Azam ilikuwa popular Kenya ikitokea. Nadhani iliitwa Azam Energy drink ila siku hizi haipo tena. Watu wamerudi kwa Red Bull, Monster na Predator.
Kwanza predator inauza sana.
 
Siku zote maskini huwa anatafuta jinsi ya kujishowoff , Sasa wengine hatuna hulka hiyo kwa hiyo toka nilivogundua wewe ni maskini wa kutupwa ambaye huna uelewa wowote na huna financial freedom yoyote sijisumbuagi hata kukujibu maana najua una njaaa tu.
Mikono yako tu innaonyesha umekauka
Kama hungekuwa mtu wa show-off mbona ukasema unatengeneza 250k per day? Sema unapenda show-off ila huna cha kuonesha.
 
Kama hungekuwa mtu wa show-off mbona ukasema unatengeneza 250k per day? Sema unapenda show-off ila huna cha kuonesha.
Hawa watanzania kitu huwa wananifurahisha nayo is that whatever they like to do ndio huwa wanawekelea wengine. Do you remember that time walikuwa wamekazana ati tuonyeshe academic certificates? When Kenyans started showing theirs wakapotea, Kumbe hawa nguruwe hawana certificates 😂😂
 
Hakuna kiwanda chochote cha bidhaa yoyote ya Unilever au Nestlé au Nivea, Ariel mna depots only
Unasema hakuna kiwanda Cha Unilever Kenya? Hii hapa sabuni ninayotumia manufactured by Unilever. Angalia imeandikwa aje? Alafu tuletee picha ya bidhaa zako za Unilever tuone inetengenezwa wapi.🤣🤣

1000491786.jpg
 
Back
Top Bottom