Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Kiingilio inakuanga bei gani huko.?And collects 700k in one match. Can Azam even manage that? Meaning people fill Dandora Stadium every month.
BTW uwanja wa Azam uko na capacity ya watu elfu 10 na kiingilio ni kati ya 5000 (regular) kiendelea.. ukipiga hesabu hapo utapata ngapi.? Heb tuone.
10000 x 5,000 =50,000,000 (let’s assume hawa watu wote wameingia regular.
Hiyo 700k K sh ni around 13 million Tz money.