Ila bana sio sehemu kuleta ushabiki wa simba na yanga ilipaswa hata dk ziwe 10 za nyongeza.ila jana refa kafanya majabu kwa kweli asante refa kwa kutotoa kimasomaso sisi watanzania sijui tungeweka wapi sura yetu😂
View: https://x.com/sportsarenatztz/status/1868314736544428154?s=46
View attachment 3177937
Ilikuwaje mkamchagua kama hasemi ukweli? Manaake nyinyi ni vichaa?Huyo hasemangi ukweli, sisi ndio tunamjua.
Kenya sio kama bongoslum penye kila kitu inaanza na kuisha na Rais.Hee! Humuamini rais wa nchi? Una wazimu wewe? Rais anaanza kujua kabla hao knbs.
Ju alichaguliwa na over 90 percent votes kama marehemu wenu ama?Ilikuwaje mkamchagua kama hasemi ukweli? Manaake nyinyi ni vichaa?
Yaani akisema ukweli wewe unamuita muongo sio?😁Huyo hasemangi ukweli, sisi ndio tunamjua.
Ukweli gani, kuna data alipeana au alikua anaongea tu kuwafurahisha kama kawaida yake.Yaani akisema ukweli wewe unamuita muongo sio?😁
Ruto ni msema ukweli na ukweli utakuweka huru😁Ukweli gani, kuna data alipeana au alikua anaongea tu kuwafurahisha kama kawaida yake.
Acha ufala wa utopoloni. Sheria za FIFA unazijua wewe?ila jana refa kafanya majabu kwa kweli asante refa kwa kutotoa kimasomaso sisi watanzania sijui tungeweka wapi sura yetu😂
View: https://x.com/sportsarenatztz/status/1868314736544428154?s=46
View attachment 3177937
Kaniambia mtu wa TRC.sio kweli kaka unavo vipimo vya tunnel?
Hakuna viji brand vyenu vyovyote ambavyo ni competitive to our brands, ondoeni hizo sera zanu za protectionism police muone vile nchi nzima ya kenya tutakavyoitawala,Viwili vitatu na zime occupy half of the fridge. Juice ngapi za bongoslum zinauzwa Kenya?
Zinafanya nini kwenye shelves za supermarkets zenu kama hazinunuliki? Why would supermarkets stock items that don't sell? Unafikiri ni vilaza kama wewe?Ngoja nikuambie ukweli, hizo products hazipo Tanzania na kama zipo hazinunuliki kabisa, mtaani hazipo.
If they aren't competitive hazingekuwa kwenye shelves za supermarkets zenuHakuna viji brand vyenu vyovyote ambavyo ni competitive to our brands, ondoeni hizo sera zanu za protectionism police muone vile nchi nzima ya kenya tutakavyoitawala,
Sisi hatuna roho mbaya ya kuzuia bidhaa zenu kama mnavyotufanyia, most of your products sahii zina strugle kwa market ya Tz. Hii mbona si hata ni swali.If they aren't competitive hazingekuwa kwenye shelves za supermarkets zenu
Unafikiri Ruto ni mjinga? Alikuja kufarahisha vilaza kwao and indeed he succeeded 😃😃Muulize rais wako alimaanisha nn kusema Tanzania inaongoza kwenye trade EA.
Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi Gani inazuia bidhaa za mwingine? You must b living in a different world.Sisi hatuna roho mbaya ya kuzuia bidhaa zenu kama mnavyotufanyia, most of your products sahii zina strugle kwa market ya Tz. Hii mbona si hata ni swali.
And who told you sports was devolved? Ama ni kuongea tu?Devolution maana yake ni nini sasa?