Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
Jamani free advice mnapewa msije mkajilaumu baadae!
Hadi wewe libaba lizee bado unafuatilia umbeya za Musicians? Kweli wewe ni mjingaJamani free advice mnapewa msije mkajilaumu baadae!
View attachment 3174248
Muwape hata faraja jamani watani zetu hamuoni wamenyongonyea, tuwape pumzi kidogo heheeeeJaribu kuwajua vizuri mzee! Angalia mahojiano ya Bien ni yaleyale ya kuuma na kupuliza! Naye anataka level ya Diamond Platnumz! Watu wanatungiwa mashairi na Watanzania na wamevunja Sauti sol juzi! Wasanii wa Kenya ni lazy na wajinga!
😂😂
Ni pale unapoona Wasanii wa Kenya wanapotumia huu mgogoro kutangaza events zao unabaki kujiuliza, kwani hii sector ipo fucked up kiasi gani huko Ukunyani? Mpaka wawe desperate namna hii kufikiri Furaha festival wataacha kulipa Diamond a business magnet walipe mtu kama Jessy?
View: https://youtu.be/yyXGavN6IRo?si=BgXZX9V5kn14ewTg
🤷🏿♂️🤷🏿♂️
Hakikuanzia Lamu tena? kwa Hiyo Kiswahili kinasomeka kama ulivyoandika. Ujinga mwingine mzigo. Una ufahamu hata Lugha ilivyo?Just tell that guy that Swahili itself is an Arabic word “Sawahili”. They are bragging that Kiswahili is their language yet they can’t even give it an African/Bantu name😂
English in bother kivipi? Eti kiswahili sio lugha yetu? Ni yenu basi kazi kupiga broken kila language.I don’t get why is English bothering you so much 😂😂😂 what do you mean English nyingi…kuzungumza kiingereza sio kujifanya mzungu.
Katika dunia ya utandawazi, ni lazima ujizoeeshe lugha inayozungumzwa na wengi huku ukidumisha fahari katika lugha yako, ila pia ujue Kiswahili sio lugha yako ya halisi ila ni Lingua Franca ilioathiriwa na kuchukua maneno na misamiati kutoka lugha mbalimbali kama vile kibantu na kiarabu, kwa hivo kama unajivunia lugha yako ya asili basi ongea kwa kisukuma ama lugha yako ya mama na muache kumiliki lugha ya kiswahili kama kwamba ni chenu.
Wako wapi sasa wale wa kelele ati expressway iko empty.. hapa ni wapi?🤣
View: https://vm.tiktok.com/ZMkLxn6Cy/
You are an idiot. History hujui na technology pia hujui what do you know? Soma the highlighted part.Hakikuanzia Lamu tena? kwa Hiyo Kiswahili kinasomeka kama ulivyoandika. Ujinga mwingine mzigo. Una ufahamu hata Lugha ilivyo?
Watu wanalipa toll, have you ever paid any toll fee in your life?Kumbe sindano ilipenya. Lipia tolls acha ujinga. mchina amesema ana hasara. Gari tano bado sana
Jibu swali limeandikwa as arabic?You are an idiot. History hujui na technology pia hujui what do you know? Soma the highlighted part.
View attachment 3174284