Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo Erick anakaa mpumbavu sana most of the time, ananikumbusha story za Luddism workers movement during Europe Industrial Revolution, he doesn’t know who is their real enemy, so he chooses to fight anyone, badala ya kuhamasisha hard working, utenzi mzuri na melodies sweet kwa wasanii wao, yeye anahamasisha play 75% kenyan music. Sasa utampangia shabiki ni kipi cha kuskiliza.? Asikilize tu kukuru kakara za hao walevi wa kikenya.? 😂😂😂

Wasipobadili mitazamo Yao, na kuona ni kwanamna gani wanaweza kutoa domination ya Bongo flavor huko kwao, we gon lead the forever as far as entertainment is concerned.
Unakumbuka Harmonizer alimfanya nn? Pia alimzushia Churchhill na show yake akamfukuza! Ni mtu hana talent ila anataka kubaki relevant kama Jaguar! Haya yote ya ubaguzi na chuki yanafanyika openly na yakiungwa mkono na Kenya nzima halafu baadae utaskia Watanzania wanachukia Wakenya! Ila Willy Paul yuko kwenye hatari ya kutoalikwa na event organizers!
 
Naseeb alilipwa $150k that night huko kenya na haku perform mzee. 😂😂😂 juu ya Ufala ya ndugu Yao. Pitia comments zao 👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/DDZivh4NWJ0/?igsh=MXV4ejB1bGp1Y3c5OQ==.

Alafu kuna mbwa anakuja kulia lia huku tukiamua kuwakazia kuwa hatuwapendi wakenya.

Mijitu inaroho nyeusi kama masizi.

Hizo comments tu ni kielezo tosha.

Eti utasikia wao ndio walimpa umaaarufu wakati wasanii wao wenyewe hawawezi wapeleka popote, BONGO FLEVA tumeikuza wenyewe kuwa brands kubwa.

Kama hamuamini SUSA muone, mtu ana mziki wa m100+ Views. Kuna watu walioshindwa hata kuifanya GOR MAHIA iwe na followers hata 100k kuwa ndio wamekuza.

UFALAMANGA ROHO NYEUSI TIII KAMA MASIZI.
 
School Buses
20241210_215209.jpg
 
Hivi wanajua tunavopambana kumnyanyua Mr misondo na baadae utasikia ........
 
Naseeb alilipwa $150k that night huko kenya na haku perform mzee. 😂😂😂 juu ya Ufala ya ndugu Yao. Pitia comments zao 👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/DDZivh4NWJ0/?igsh=MXV4ejB1bGp1Y3c5OQ==.

Alafu eti hawaamini ni Ksh 20m wanasema ni za Tanzania, Diamond miaka ya 2013 alikua anachukua USD 30K kwa show leo achukue eti leo achukue Tsh 20m na BRAND YAKE yote hiyo pamoja na Viral songs Dunia nzima?

Spotify anavuna, Boomplay anavuna, shazam anavuna, kuna Brand yake ya WASAFI anavuna, kuna matangazo yake ya SERENGETI BREWERIES, AIRTEL, alafu eti umuite kwa Tsh 20m.

Wehu ni noma
 
I am shook at how much Tanzanians are obsessed about Diamond Platypus😂
Hollywood Pop culture and 3rd world don’t mix. Don’t get me wrong, it’s totally okay to support your own but this is obsession ngl
I’m glad we don’t have such kind of idolization over here.
FYI i can assure you, no one cares about these stories, at least not the Kenyans here
Acha ujinga, si Mlilianzisha nyie.
Mkipigwa mnaanza kuleta UZUNGU PORI.
 
You know, this kind of celebrity obsession phenomenon is referred to as celebrity worship syndrome and it’s actually linked to psychological and social factors like low self esteem, loneliness and even mental health issues. So it’s not a good trait my guy.
English nyingi ya nini? Mmelianzisha nyie. Mkijibiwa mnaanza kujifanza WAZUNGU?.
 
Alimzushia Churchhill na show yake akamfukuza! Ni mtu hana talent ila anataka kubaki relevant kama Jaguar! Haya yote ya ubaguzi na chuki yanafanyika openly na yakiungwa mkono na Kenya nzima halafu baadae utaskia Watanzania wanachukia Wakenya! Ila Willy Paul yuko kwenye hatari ya kutoalikwa na event organizers!
Ukitazama Wakenya wametofautiana kwa opinions ila Vumbistanis wote wanasema Willy Paul mbaya. Hili linaonyeshwa wagani Wana chuki.
 
English nyingi ya nini? Mmelianzisha nyie. Mkijibiwa mnaanza kujifanza WAZUNGU?.
I don’t get why is English bothering you so much 😂😂😂 what do you mean English nyingi…kuzungumza kiingereza sio kujifanya mzungu.
Katika dunia ya utandawazi, ni lazima ujizoeeshe lugha inayozungumzwa na wengi huku ukidumisha fahari katika lugha yako, ila pia ujue Kiswahili sio lugha yako ya halisi ila ni Lingua Franca ilioathiriwa na kuchukua maneno na misamiati kutoka lugha mbalimbali kama vile kibantu na kiarabu, kwa hivo kama unajivunia lugha yako ya asili basi ongea kwa kisukuma ama lugha yako ya mama na muache kumiliki lugha ya kiswahili kama kwamba ni chenu.
 
I don’t get why is English bothering you so much 😂😂😂 what do you mean English nyingi…
Katika dunia ya utandawazi, ni lazima ujizoeeshe lugha inayozungumzwa na wengi huku ukidumisha fahari katika lugha yako, ila pia ujue Kiswahili sio lugha yako ya halisi ila ni Lingua Franca ilioathiriwa na kuchukua maneno na misamiati kutoka lugha mbalimbali kama vile kibantu na kiarabu
Just tell that guy that Swahili itself is an Arabic word “Sawahili”. They are bragging that Kiswahili is their language yet they can’t even give it an African/Bantu name😂
 
Watoto wakiume wako busy kuringa na pesa Diamond alizolipwa, alafu utakuta ni mtu mzima na familia inayo mtegemea
Ati 20 million KSH make Bongo minds go round n’ round … American pop star Taylor Swift just concluded her world tour that grossed $2.2 billion ( yes in dollars)… halafu hawa majamas wanaruka kama Diamond ni Hollywood star … nobody knows him except his fans in Africa… he ain’t a world superstar as Bongolalas suggest…not even close … only to his worshipers in Tandale …🤣🤣
 
Bien alilipwa kiasi gan
 
Just tell that guy that Kiswahili itself is an Arabic word “Sawahili”. They are bragging that Kiswahili is their language yet they can’t even give it an African/Bantu name😂
Even though Swahili’s origin can be traced to the coast of Kenya, we don’t claim it as though it’s our own. It belongs to everyone, even if Russians wants to use it as their national language, who cares?? 😂😂
 
Back
Top Bottom