Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I am shook at how much Tanzanians are obsessed about Diamond Platypus😂
Hollywood Pop culture and 3rd world don’t mix. Don’t get me wrong, it’s totally okay to support your own but this is obsession ngl
I’m glad we don’t have such kind of idolization over here.
FYI i can assure you, no one cares about these stories, at least not the Kenyans here
Kenya nzima now mnamuongelea Mondi, kweli nyie ni vichaa.
 
I really don’t give a rat’s a$$ about no Diamond platypus or Willy Paul. I don’t even know both of their songs man 😂
I have my own taste of music and even so, I don’t follow their social or personal lifestyles
Mbona unajieleza sanaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ushasema you don't even know their songs, then why you say about your own taste of music? Inferiority complex at its best 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ati 20 million KSH make Bongo minds go round n’ round … American pop star Taylor Swift just concluded her world tour that grossed $2.2 billion ( yes in dollars)… halafu hawa majamas wanaruka kama Diamond ni Hollywood star … nobody knows him except his fans in Africa… he ain’t a world superstar as Bongolalas suggest…not even close … only to his worshipers in Tandale …🤣🤣
Comment ya maumivu sana hii, I can feel your pain bro 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni pale unapoona Wasanii wa Kenya wanapotumia huu mgogoro kutangaza events zao unabaki kujiuliza, kwani hii sector ipo fucked up kiasi gani huko Ukunyani? Mpaka wawe desperate namna hii kufikiri Furaha festival wataacha kulipa Diamond a business magnet walipe mtu kama Jessy?

View: https://youtu.be/yyXGavN6IRo?si=BgXZX9V5kn14ewTg

🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️
 
A
Ni pale unapoona Wasanii wa Kenya wanapotumia huu mgogoro kutangaza events zao unabaki kujiuliza, kwani hii sector ipo fucked up kiasi gani? Wawe desperate namna hii kufikiri Furaha festival wataacha kulipa Diamond a business magnet walipe mtu kama Jessy?

View: https://youtu.be/yyXGavN6IRo?si=BgXZX9V5kn14ewTg

🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️

Actually sio wakeny wote Bali wale waganga njaa ndo wanakelele sana .
Hata wale waliopiga kelele kwa diamond ni wale wa bei rahisi ila wale vip wanaojielewa waliondoka zao kwa kuona ni upumbavu tu.
Hata haya mavurugu ya kuwachukia watanzania ni wale wasiopenda kazi ila wale ambao wanajishughulisha mbona tuko nao na wanakuja kutuungisha mchele na kadhalika.
 
Ila wote ni wanazi na wanafiki kwa sababu walipaswa kuwaambia ukweli waganga njaa! Sasa mtu kama Joho anaongea upuuzi yet Baba anashinda kwa AU akimtumia Nyerere kunadi sera zake, mbona asitumie Jomo Kunyatta kama ni Kenya first maneno?
 
Mwanasiasa anacheza na upepo tu ila hili la diamond wamegawanyika
 
Mwanasiasa anacheza na upepo tu ila hili la diamond wamegawanyika
Jaribu kuwajua vizuri mzee! Angalia mahojiano ya Bien ni yaleyale ya kuuma na kupuliza! Naye anataka level ya Diamond Platnumz! Watu wanatungiwa mashairi na Watanzania na wamevunja Sauti sol juzi! Wasanii wa Kenya ni lazy na wajinga!

😂😂
 
Back
Top Bottom