Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio hapo tu ni pia sera ya kulinda viwanda vya ndani, for now tuna viwanda vingi vya cables ila bado unaruhusu imports ya cables kutoka chini kama si uchizi nini?

Sasa watapata wapi faida?

Sera inatakiwa kua hivi kiwanda chochote kikubwa kikiwekwa hapa government iweze hata kufavor kwenye supply tender ya institution na miradi yake huenda wakashawishika.

Mfano hiyo Saturn corporation, ilitakiwa serikali icut imports ya malori ya kichina, sehemu yake ifidiwe na Saturns.

Nakwambia kuna viwanda vingi vitashawishika, TRA nao wamekalia usenge wa kukomoana.

Kiwanda kinaweza kuwa na mnyororo wa kodi directly na Indirectly, shida wao wamekalia directly.

Hata kiwanda cha magari kikija government cars zisapoti gari za ndani.

Imagine hata kiwanda kimoja cha bus kije alafu tuzuie michina ya kila aina ukizingatia AFRICA sisi ndio tunaongoza kununua kwao. Naamini wataleta na viwanda vyao kabisa.

As long as kuna uwazi unaruhusu tu importation kwa kibali maalumu sehemu iliyopungua.

Angalia INDONESIA KAPIGA MARUFUKU IPHONE 16 KISA SAMSUNG, VIVO NA WENGINE WAMEWEKEZA BILLIONS OF MONEY.
 
Mkuu kwa Sasa hatuzimalizi ila baada ya miaka kama miwili umeme utakuwa kidogo kaka.
 
Tutolee maneno ya kanga hapa leta evidence mlipotenga tuone.
Kwani lazima tutengee? Ebu tuonyeshe penye tulitenga pesa za affordable housing, tuonyeshe penye tulitenga pesa za kukata ati Kasarani Stdium, tuonyeshe penye tulitenga pesa za kutengeneza all the ongoing roads projects in Kenya. Tuonyeshe penye tulitenga pesa za kujenga all the small stadiums tunajenga all over Kenya.
 
The good thing you accept slums as part of your city planning😁
Jitahidini mpeleke maji na waste water services sasa.
The good thing those slums has better road connections than your top cream neighborhoodsπŸ˜†.
 
Kweli wewe ni jobless asubuhi,mchana,jioni,usiku upo jf
Yet I live better than you. I’m also sure I have got more money than you, so tell me Mr. Busybody, what have you achieved to compare yourself with me?
 
We have wholly made vehicles in Tanzania that are operating as we speak Nyumbu trucks now show us any BJ60 in operation in Kenya.
Tuanzie hapo kwanza kabla hatujaendelea na mada ya automotive industry 😁
Nyumbu trucks that haven’t even passed the road test approval? Ebu tuonyeshe hiyo nyumbu ikiwa barabarani and I will show you a Kenyan underground cityπŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Yet Dar is Slum only have 400km of tarmacked roads in comparison to 7,000km of Nairobi’s. Aren’t you not ashamed that hata Turkana imeshinda Dar is Slum in terms of road network?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
That railway line will be final mail to Dar port coffin. Ama unadhani Zambia, Malawi na DR wataacha bandari that is closer to USA and UK wakijaribu kwa Hilo bandari lenu inefficient that need going around Africa ndio ufike USA? When that railway comes to fruition Tanzania will be doomed.
 
Tanzania sio Rwanda wala Uganda, sisi ndiyo baba wa East and central Africa, so you must know the names of Tanzanian leaders.
Wewe shuka, umedandia mada. We must know the names of Tanzanian leaders wakati Mimi hapa hata makamu wenu wa Rais simjui jina wakati wewe hapo na vilaza wenzako mnajua mawaziri wetu wote hadi magavana na manaibu wao wote
 
Wewe shuka, umedandia mada. We must know the names of Tanzanian leaders wakati Mimi hapa hata makamu wenu wa Rais simjui jina wakati wewe hapo na vilaza wenzako mnajua mawaziri wetu wote hadi magavana na manaibu wao wote
The only known leader known by at most 0.5% of Kenyans I think is their President. Kwao wanajua all the spouses of Kenyan governorsπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
So you wanted the minister of finance to be a Luo in every government? Is that your thinking? How about Kurians, Pokomos, Kambas, Maasais, Taitas? Ama huko kwenu Tanganyika kila kabila limepewa nafasi kuwa na waziri wa fedha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…