Rostam Leo kaongea jambo Moja serious sana. Hakuna nchi imewai kukuwa kiuchumi kwa kutegemea wawekezaji kutoka nje ya nchi. Jamaa katoa point tatu muhimu.Kuna uhuni Mkubwa unaendelea pale...ni suala la muda mambo yatakuwa wazi tu.
Magufuli alikuwa sahihi sana na wala hakuwa mjinga kila baada ya miezi miwili yuko pale bandarini tena anaenda kimya kimya bila taarifa.
Tungebaki na plan zetu tukiiboresha mdogo mdogo....
Tukiendelea hiv itafika 2050 bado tuko hapahapa na kaGDP ketu... bila kuwa na watu serious kufuatilia huu uhuni unaoendelea pale.
Ivi kwanza pale kunauwekezaji upi wa mitambo mipya wameweka? Bado wanatumia mitambo ya tics na ya serikali tuyonunua imesogezwa upande wao... Kiufupi wameleta crain chache za kupanga mizigo sio kupakua kwenye meli.Kuna uhuni Mkubwa unaendelea pale...ni suala la muda mambo yatakuwa wazi tu.
Magufuli alikuwa sahihi sana na wala hakuwa mjinga kila baada ya miezi miwili yuko pale bandarini tena anaenda kimya kimya bila taarifa.
Tungebaki na plan zetu tukiiboresha mdogo mdogo....
Tukiendelea hiv itafika 2050 bado tuko hapahapa na kaGDP ketu... bila kuwa na watu serious kufuatilia huu uhuni unaoendelea pale.
namaanisha ukilinganisha na predecessors!Sio kwamba yuko fair mkuu bali FDI zimekauka huko dollar hamna madeni luluki economy in the doldrums moja haikai mbili haikai wanalazimika kukubaliana na mziki wa Tz angalau wapate chochote kitu.
Issue sio kupunguza Bali mapato yaongezeke. Apa tunaongelea uzalendo. Wekeni siasa pembeni.Umewahi sikia hela imepunguza huko TRA au TPA?
Dua la kuku kumpigania marehemu ππππ
Ule uhuni uliokuwa unafanywa na escrow Richmond na matepeli wengine Kwa Sasa ufanywa na DP worldIvi kwanza pale kunauwekezaji upi wa mitambo mipya wameweka? Bado wanatumia mitambo ya tics na ya serikali tuyonunua imesogezwa upande wao... Kiufupi wameleta crain chache za kupanga mizigo sio kupakua kwenye meli.
Miaka yote hiyo 14M tu passenger!!???
Nini ya kizamani hapo bongolala? The fact that you know our entire cabinet and all the 47 governors and their deputies as well as as spouses ama?Mambo ya kizamani haya achana nayo ushazeeka wewe, kwani unadhani ni sifa kuwa hujui mambo? Ni ujinga watchman wewe.
Hongera bongolala for following Kenyan news and affairs holistically. Inashangaza sana how well versed Tanzanians are about Kenyan government. Sisi hata mawaziri wenu hatuwajui. Yani hatupotezi muda kufatilja masuala yenuUjue au usijue hizo ni shida zako...
Namjua Murkomen ndio mshika hela wa Husler in chief mzee wa sugoi baada ya kupiga za barabara na kukarabati hewa Airport akaamua kuwauzia Adani kabisa...
Sasa yupo kupiga hela za viwanja vya mpira... Hakuna atakachofanikisha huyo... Kazi yake ni ku zingatia maokoto yaende kwa boss kubwa!
Kama unaona ni ujinga hebu nitajie jina ya waziri ya michezo wa Uganda na Rwanda kama unawajua jinsi ujuavyo Murkomen wetu (without Googling)Anafikiri kutokujua jambo ndo ujanja kumbe ni ujinga na ushamba.
this not argwins khodhek road, this chania avenue off Wood Avenue. Argwins khodhek Hakuna Mahali iko na kabro, it's all termac..... Wacha ujuaji mwingi na Hakuna kitu unelewa we mshamba. Alafu hio lane imeharibiwa na heavy construction tippers juu the whole area is a construction site.Hiv kenyans walisema kilimani is the most coolest nini in Africa?
Kilimani Nairobi 2024. Na hii ni main road kuelekea Kawangware slum nyuma tu ya Kilimani... Inaitwa argwings Kodhek road. Just after Yaya centre karibu kilimani primary school.View attachment 3169730
Endelea Kuota hapo unathani Kisumu int. airport ni hizo airport kibanda za Tanzania. Kisumu is a 24/hour airport with a lit runway ππΎThat Kisumu airport no plane can land at night!
View: https://x.com/NataliaJohn19/status/1857351549128757580
Wapishi wa data wako kazini π€£π€£π€£
So hizo stadiums zimeanza kuwa renovated lini na mechi zilipaswa zichezwe lini?Ulitaka wacheze in a stadium being renovated? Is your family this dense or is just you? Are your children dense like you?
Hiyo bus huku Tanzania haitaruhusiwa kufanya kazi maana haijakidhi hata minimum vigezo vya passengers buses in Tanzania.When will Tanzania reach these levels za kutengeneza mabasi za maana hivi? Ama bado watakuwa wanakula pesa Kenya na China kama kawaida yao?πππ
Built in Kenya by Kenyans.
View: https://x.com/anj_116_/status/1864728487161925647
Yeah Ruto is a good president for sure but kwa politics zao zilivyokuwa mavi hawampi muda apige kazi maana tayari wanawaza 2027 along tribal lines.namaanisha ukilinganisha na predecessors!
Sasa kama Mapato hayajaongezeka utaweka Mwekezaji wa kazi gani? Sio tuu yameongezeka Bali yameongezeka Kwa kiasi kikubwa.Issue sio kupunguza Bali mapato yaongezeke. Apa tunaongelea uzalendo. Wekeni siasa pembeni.
Ruto anapitia Hali Ile Ile anayopitia SamiaYeah Ruto is a good president for sure but kwa politics zao zilivyokuwa mavi hawampi muda apige kazi maana tayari wanawaza 2027 along tribal lines.