NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,171
- 19,454
I'm glad you understand the origin of Swahili is Kingozi. Now, tell your brother buffalo44 which part of the world the Kingozi language was spoken.Only 20-35% of Swahili is of Arabic origin, whereas 50-60% of English is of French/Latin origin. According to your logic, we're actually speaking a French dialect here. Also, the only reason why Swahili has so many Arabic loanwards is because Arabs and Arabic culture was dominant in the region for over a millennium. Yet despite that, Kingozi didn't die or abandon its African roots. In fact it was the Arabs who abandoned Arabic for Swahili when they migrated to the land of the Zenj. Swahili is an African treasure and Kenyans should be proud of what Tanzania has done with it. Coz if it was up to y'all, Swahili would be well on its way to extinction.
Exactly, that's what a bongolala would say.What are you implying? Club kwenu mnaenda kisiasa?
Ruto musto go mmefanya mara ngapi hadi. Wengine kupoteza maisha mbona bado yupo?
hahahah tunayo risiti yako kaka usijisahau πMiradi ya mabilioni kama hii haiangalii figisu bali feasibility! Ni kosa kufikiria Magufuli alibadili maamuzi ya wapi bomba lijengwe!
Na bado anawafyonza kisawasawaπWhat are you implying? Club kwenu mnaenda kisiasa?
Ruto musto go mmefanya mara ngapi hadi. Wengine kupoteza maisha mbona bado yupo?
Na leo kawapiga mkwara sijawahi ona. πππNa bado anawafyonza kisawasawaπ
Adan pamoja na madhaifu yake,kiukweli alikua mwiba mchungu kwetu ni bora kunyan walivyomkataaRuto anamlilia adani hakuna mtu mwingine wa kuziba matundu ya mvua na potholes kwenye runways
View: https://youtu.be/FnwDW5YSQbM?si=A7OYFRNw9qDBDA1t
ππππ how many words does kingozi dialect contributed to Kiswahili language.? Mimi ni msomi wa kiswahili, naweza kukutia darasani nikakufunza historia ya lugha wewe na mwalimu wako.I'm glad you understand the origin of Swahili is Kingozi. Now, tell your brother buffalo44 which part of the world the Kingozi language was spoken.
Hawa hawatoandaa Chan wala afcon, hawana huo uwezo.
Kaka hivi mm nikisemaga humu huwa hamnizingatii? Hawa hawatoandaa Chan wala afcon mark my words.
Kwani ni maelfu magapi ya wajuluo wamekuwa butchered kwenye ruto must go? Na je ashagoo?Jaribu hii hapo bongolala hutopatikana the next day.
Hii ndo sababu CRDB bank haina branch kenya....lakini KCB na Equity wana branches hapa Bongo.
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1863845924306313570
MY TAKE
βπΏβπΏ Typical of Kimavi country!
Wala hajasema uongo...SGR wana hadi mbwa za kunusa mabegi kama unaenda mbinguni vileJamaa amelalamika wanakusachi kama lisaa lizima huku wakitoa vitu kwenye begi.
Aiseeee!
HAITOSHI na rushwa juu.
Kuna mtu nilisikia anasema kenya is just developed online. Naanza kumuamini sasa. Kwenye takwimu kenya iko level ya Singapore kwa ground ni Burundi iliyochangamkaKumbuka Hapo kabla walishaomba ku-host AfCON mara tatu wakapewa nafasi baadae wakanyangβanywa! Kunyaland ni nchi kimavi kwelikweli!
These people are very stupid. Niliwaambia wanionyeshe penye Ruto alisema those words wakashindwa.Ruto spoke English. If you know you know.
Unaongelea Kingozi na Shungwaya vizuuuri alafu unasema Wakenya hatujui historia yetu yet tumekuwa tukiwafunza wenzako humu kuhusu Shungwaya na Kingozi for years wao wanakataa eti Kiswahili kilianzia Kilwa. Nyie ndio wa kushangaa. Mnaita Kiswahili lugha yenu na hamjui historia yake. Ebu eleza wenzako kuhusu Shungwaya na Kingozi waelewe. Hilo la Wapokomo kuwa descendants wa wangozi nilishaasema humu kitambo sana na wenzako wakanipinga, usione kama unatufunza kitu hatujui.Sio kweli, Kiswahili sio Kimikijikenda, wala hakuna lugha inayoitwa Kimijikenda maana Mijikenda ni muunganisho wa makabila tisa na kila kabila ina lugha yake. Yaani hata historia yenu ya Kenya hamjui. The language closest to Swahili ambayo sio dialect ya Swahili (kama Kibajuni) au descendant ya Kiswahili (kama Kikomoro) ni Kipokomo. In fact both Kipokomo and Kiswahili are said to descend from Kingozi, the precursor to Kiswahili before it became "Swahili", ie. the lingua franca of the Zanj coast. This evolution most likely happened in modern-day Kenya, based on lingustics alone, although oral traditions suggest that Shungwaya, the civilization that birthed not only the Swahili, but several tribes in Southern Kenya and Northern Tanzania, including the Mijikenda group, Taita, Sambaa, Pare, Digo, etc was centered in southern Somalia in the now extinct confluence of the Juba and Shabelle river basins. Jamani Wakenya, know your history. Watanzania tunawashangaa mku eager sana kujionyesha wajanja kwa kizungu mnasahau kwenu. Kujua Kiingereza sio kitu, sio muda kitapitwa na Kichina. But we must know ourselves first.
Tangu lini baboon kakawa msomi? Iβm sure you failed terribly in your Kiswahili exams.ππππ how many words does kingozi dialect contributed to Kiswahili language.? Mimi ni msomi wa kiswahili, naweza kukutia darasani nikakufunza historia ya lugha wewe na mwalimu wako.
Ukoo wako na walimu wako wote mnaweza kuwa wanafunzi wangu, likija suala la kujua kiswahili, vimtihani vyako vya form four vya kiswahili vyenye umefanya ni mitihani nilifanya darasa la nne huku Bongo.Tangu lini baboon kakawa msomi? Iβm sure you failed terribly in your Kiswahili exams.