The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,996
Mm huwa nawaambia hawa wanatufosi kuwa ukanda wao wa East lkn sisi ni wa South.SADC is taking over AFCON Kati ya Team 24, Tisa kutoka SADC
- South Africa 🇿🇦 qualified
- Zimbabwe 🇿🇼 qualified
- Botswana 🇧🇼 qualified
- Zambia 🇿🇲 qualified
- Mozambique 🇲🇿 qualified
- Angola 🇦🇴 qualified
- Comoros 🇰🇲 qualified
- Tanzania 🇹🇿 qualified
- Congo DR 🇨🇩 qualified
Huwa wanakurupuka katika maamuzi ili waonekane wapo juu ya Tanzania, matokeo yake wanafeli kila siku, sitoshangaa hao mgambo wao wakakosa hata nauli ya kurudi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaani Hawa kila kitu hawawezi🤣🤣🤣🚮
View attachment 3156547
Nchi za ukanda wao ni hizi. 🤣 🤣 🤣 🤣 👇👇Mm huwa nawaambia hawa wanatufosi kuwa ukanda wao wa East lkn sisi ni wa South.
Nchi zao hizi hapa zinasifika kwa kuikimbiaji. Wanakimbia hawa 🤣 🤣 🤣 🤣 👇👇👇Huwa wanakurupuka katika maamuzi ili waonekane wapo juu ya Tanzania, matokeo yake wanafeli kila siku, sitoshangaa hao mgambo wao wakakosa hata nauli ya kurudi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sure, a.k.a njaa region 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hamna kocha mule. Anatembelea ukubwa ya viwango vya ligi yetu.alaf yule kocha mpemba hakumuita kwasababu gani? nilikua najiuliza sana
Kuna mzungu hapa katembelea karibia Airport zote za Africa including JKIA.Mmeanza tena kuhangaika, siku hizi hamtutishi kwa ground vitu viko wazi, eti mpk Capetown
Hilo lipo wazi.Hamna kocha mule. Anatembelea ukubwa ya viwango vya ligi yetu.
wahanga wanasubiri michango kutoka kwa watanzania 😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 wengine wanapndishwa kwenye kirikuu haya ndio maendeleo tunayojisifu nayo, labda nikuulize kwann michango ichangishwe kwa watanzania kama serekali inaweza kutoa??? kwann watu kuingia uwanjani bure michango haijaletwa kwa wananchi, au ndio tunajifichia kwenye mpira na AFCON ionekane nothing happenedJe umewahi ona wahanga wamekosa mahitaji kisa kusubiria michango?
Michango ni hiari kulingana na watu walivyogusa.
Serikali inawatibu Bure,imegharamia masishi,imewaokoa nk ila haiwezi wapa pesa Kwa sababu sio wajibu wake but wafiwa Watapata pole.
Serikali ya Suluhu haijawahi kula pesa za wahanga kama serikali ya Mwendazake alipokula pesa za wahanga wa tetemeko.
Jana nilifurahi sio Kwa sababu ya Taifa Stars ila Kwa haters kuumbuka maana mlitaka Stars isifuvu mumzodoe Rais.
Kwa taarifa yenu tuu mtaumia sana yaani mnavyoongeza chuki ndivyo nyota inang'aa.
Waulizeni Machadema wako wapi saizi ,Samia ana leadership intelligence na nyota Kali sana 🤣🤣👇👇
View: https://x.com/SuluhuSamia/status/1858906985141317698?t=ZntfwMOtSTLOTPFaM56rZg&s=19
Wewe toa mchango waja upuuzi, account ya serikali ipo.wahanga wanasubiri michango kutoka kwa watanzania 😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 wengine wanapndishwa kwenye kirikuu haya ndio maendeleo tunayojisifu nayo, labda nikuulize kwann michango ichangishwe kwa watanzania kama serekali inaweza kutoa??? kwann watu kuingia uwanjani bure michango haijaletwa kwa wananchi, au ndio tunajifichia kwenye mpira na AFCON ionekane nothing happened
sijawahi kuona aiseeee
Sio kukimbia tuu na kukimbia kwao pia 🤣🤣🤣🤣🤣Nchi zao hizi hapa zinasifika kwa kuikimbiaji. Wanakimbia hawa 🤣 🤣 🤣 🤣 👇👇👇
Who We Are
Horn of Africa Initiative at a GlanceOn 18 October 2019, during the World Bank Group/IMF Annual Meetings in Washington, D.C., the Ministers of Finance and other representatives of five Horn of Africa (HoA) countries - Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Kenya, Somalia - came together in the Horn of...www.hoainitiative.org
hehehehhehe yani ChoiceVariable anafkiri tanzania haijawah ku qualify AFCON sasa atuambie 1980 tanzana iliingia kwa nguvu ya nani???😂😂😂😂😂Hamna kocha mule. Anatembelea ukubwa ya viwango vya ligi yetu.
mbona taifa stars sijatoa mchango sasa?Wewe toa mchango waja upuuzi, account ya serikali ipo.
Serikali ya Samia haili michango kama serikali ya Mwendazake.
Mwisho kazi inaendelea huku 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DClKY1LvM22/?igsh=MWdnZDY5OGlvaDlnaw==
Niko sure ukimuweka ignore list hizi unnecessary comments zitapungua humu.bila yeye kwamba kafanya nn kahonga refa au kahonga CAF ?😂😂😂😂😂😂
sometimes uchawa ni kama laana vile
Stars Wachangiwe kwani Kuna msiba?mbona taifa stars sijatoa mchango sasa?
kwann tusitoe na taifa stars ??😂😂😂😂
au ng'ombe wa maskini hazai 😁😁😁