Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,146
- 33,023
Hizo barabara unataja mko nazo tukiziomba utazileta.? πππ au hizo km 23k ni za vumbi.?Are you aware that Tanzania only have 12,000km of paved roads while Kenya is already at 23,000km? That's double of what you have in backward country. Jengeni barabara muache kuwa na highways za matope na vumbi.
I donβt argue with baboons.Hizo barabara unataja mko nazo tukiziomba utazileta.? πππ au hizo km 23k ni za vumbi.?
Hizo barabara unataja yikiziomba utaleta.? We kichaa.? ππ
Unajua babako vile alikuwa anafanana? Najua hujui babako but try to ask your mother.Hizo barabara unataja yikiziomba utaleta.? We kichaa.? ππ
ππππππππππPole Kwa ujinga wako, Tarura Haina fund ya tozo ya miamala Bali tozo ya Mafuta,fake mind.
Je hiyo ndio source pekee ya Tarura? Unajua hizi lami za Vijijini zinajengwa Kwa tozo Yako? RISE ni tozo ya miamala? Wacha kuropoka.
Trilioni 50 at work in Iringa ππ
View: https://www.instagram.com/p/DCJCm4pN84N/?igsh=bmJ1a2k4bDVlNTdn
kuitwa G20 ndio maendeleo??ππππHayo Matunda mbona hatukuyaona awamu yenu wazalendo fake?
Hizi hapa ni juhudi za Mama ππ
View: https://www.instagram.com/p/DCVZGTsBLie/?igsh=MW1oaGdnMjA3NDNoZg==
hayo madini unayojisifu nayo leo bila maamuzi magumu ya kubadilisha sheria na kujenga masoko ya madini unafkiri ingekuaje ???πππππππWeka zako wewe hater?
Wacha wivu wa legacy kuzikwa ππ
Trilioni 50 at work ππ
View: https://www.instagram.com/p/DCX_OvKoLY0/?igsh=MWI3djQybHluajc5cQ==
wametenga kutoka kwenye mfuko gani niambie miradi inayofanyika usinambie miradi ambayo haipo ni hewa ππππichoboy01 Matumizi ya Trilioni 50 ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DCZMdXaAheB/?igsh=MXVrMWkwanZlM2pmMg==
soko linajengwa na serekali kuu au halmashauri hapo sijaelewa bado ??ππichoboy01 Trilioni 50 at work.
Mwanza ππ
View: https://www.instagram.com/p/DCZBTa1IJRG/?igsh=ZWp3b3dsa3ZvaW1j
tuletee ushahidi tunasubiri πππππ80% of those vehicles end up in Malawi, Zambia and Zimbabwe.