REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,675
- 11,683
Nyang'au ni ujeuri tu!Hawa watu wakiwa Kunyaland huwa wanakua na Tanzania yao kichwani, wakibahatika kuja Tanzania wanapagawa kwa surprise, huyu anasema hakutegemea public hospital kuwa hivi na machines nyingi za kisasa, hata Nairobi hospital haipo hivi
View: https://www.instagram.com/reel/DBrTg3AtuXp/?igsh=MXczeGw2bnBjaXMyYQ==
Samia akiweka Kiew la msingi!narudi kukwambia msalato ulishaanza kipindi cha magu πππππ
tuambie over 20b usd zimekopwa in just good 3 yrs ni za nn na yet kuna kodi na matozo kila kona ππππ
Acheni kujipa umhimu hamna diwani tu Tanzania ana bima ya kutibiwa Apollo India Sasa nani akatibiwe na incompetent doctor wa Kenya ambao hawalipwi maslahi mazuri ?Hata ya Magufuli pia mlijua before Kenya, sindio?πππ€£
Achana siasa za majitaka hii sio sehemu yake
Wengi wao bado wana akili mbovu kama za TeargasπNyang'au ni ujeuri tu!
π¨π¨π¨ Bado hujasema Hadi useme ππREA inatozo kwenye luku na mafuta haya tuambie kazi ya tozo za REA??ππππ
pesa za zoto zinaenda wapi au tuzo zinaliwa alaf pesa zinakopwa tena ??
View attachment 3149769
π¨π¨π¨ Ongeza sauti? π€£π€£πππππππ mradi huu kila siku unapost au mradi mmoja watu wamekopa mara 5 tuambie tu usiogope
Onyesha hapa si ulisema mradi ulimalizika mda mrefu? ππ
Kinajiendea chenyewe πππππso kama alisimamia kwa hii miaka mitatu hana msimamizi au???ππππ
au kwa sasa kila kitu kinajiendea tu
Mauzo yameongezeka kutoka ngapi Hadi ngapi nataka kujua kazi ya mama hapa maana hamkawii kumsingizia marehemu π€£π€£ππpamoja na mauzo yote ya dhahabu bado tunakopa tu over 20b usd in just 3 yrs aiseee wonders haziwezi kuisha
Kwa taarifa Yako tuu huo mradi umejengwa ndani ya mwaka mmja.mradi wa billion 5 πππ na umechukua over 2 yrs swali langu liko pale pale
Leta hapa evidence zako maana umeshawekewa ila hutaki.narudi kukwambia msalato ulishaanza kipindi cha magu πππππ
tuambie over 20b usd zimekopwa in just good 3 yrs ni za nn na yet kuna kodi na matozo kila kona ππππ
Kingereza ndio shida kwako ama kusoma ndio hujui? Kenya Railways defaulted to pay treasury not China. That's why Treasury has finned them a penalty of Ksh 1.6B.πππππ Mchina anaenda kuchukua rasmi Mali yake halali ππππ
View: https://x.com/BD_Africa/status/1856170754104004770?t=lkVPcK5qJAcVMdaBq_xypg&s=19