Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Those EMU has been there since last year, there is nothing new. You have been repeating the same old shit you have been posting here everyday.
Najua unaumia sana. EMU zimeanza kuingia bandarini mwezi wa nne mwaka huu.

Operation za EMU zimeanza 01 Nov 2024.

Tupatie uzinduzi wa kitu chochote kipya kimetokea kenya mwaka huu
 
Kabla hata ya kutaja scandal, unadhani CAG Assad alifukuzwa na kunyimwa salary ya miezi 6 Kwa sababu gani? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Unaijua Ile 1.5T? Unaijua Ile pesa walichota BoT baada ya Magu Kufa?
Wakati Magu akiwa uchukuzi ile MV Dar es salaam mtumba ilinunuliwaje na mpaka leo haijulikani ilipo.
 
Najua unaumia sana. EMU zimeanza kuingia bandarini mwezi wa nne mwaka huu.

Operation za EMU zimeanza 01 Nov 2024.

Tupatie uzinduzi wa kitu chochote kipya kimetokea kenya mwaka huu
Miezi post hapa kila siku, there is no new project huwa mnapost, just repeating the older ones.

Have you ever seen this project posted anywhere here? Have even ever heard of it?

This is a power project going on in Naivasha.


View: https://x.com/StateHouseKenya/status/1849445054277972447
 
Kwanza ana tubuma za rushwa TBA na Wizara ya Ujenzi lukuki
Hivi kwanini barabara zote Bora nchini mkandarasi alipatikana magu akiwa sio waziri mfano ukifuatilia zile tender zilizoingiwa kuanzia 2006-2009 na ukienda deep zaid kwa kuangalia status ya zile barabara na ukafuatilia zile za kipindi Cha 2000- 2005 na 2010- 2015 kwa kuangalia mahandaki tu ya kwa barabara utajua nani alikuwa Bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…