REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,676
- 11,694
Akili Yako imeona drone tuu hapo ila haijaona kazi ambayo drone zinaenda kufanya? Akili ndogo huwezi elewa kitu ππSema we jamaa ni kiazi , hayo ni mambo makubwa kweli , kununua drones ?
Kabisa!Something in your reasoning is flawed due to your inconsistency, which undermines the credibility of your arguments and makes it challenging to trust your conclusions.
Why umpangie nini cha kufanya na kuandika?Andika Kiswahili baba hiyo undispute inapaswa kuwa undisputed ama indisputable in ..
hayakuhusu kijeba vya JPM!Why umpangie nini cha kufanya na kuandika?
He is more than free to do what he wishes. Huu ni uwanja wa kujifunza hili na lile. Hakuna asiyewahi kuandika hivyo wakati anajifunza, hakuna!
Mkuu kipindi Cha magu sio kwamba hakukuwa na wizi Bali wizi ulifanyika kwa kiwango kikubwa kukawa na udhibiti mkubwa wa media na watu kuongea. Ndo kipindi pekee ambako Cag aliondolewa madarakani bila utaratibu . Na uibe vizuri pesa ni Kuanzisha miradi na miradi mingi ilikuwa chini ya ofisi yake hata haya manunuzi ya ndege hakuna anayejua.Unaweza kueleza ilikuwaje kipindi cha Magu hakukuwa na wizi?
Mkuu ukisema kwamba tumtoe kwa sababu alikuwa wazir unatakiwa ujue kuwa rais ndo mtoa pesa na sio waziri , waziri ni msimamiz tu.Kuhusu hii ya kikwete kwenye ujenzi wa barabara, iko technical kidogo. Kumbuka waziri aliyesimamia hizo barabara alikuwa huyo huyo Magu. Kwa haki ya marais wote wawili tungelinganisha miradi mingine ya kikwete ambayo haikuwa chini ya wizara ya ujenzi ili tuwe fair kwa wote.
Mkuu nakubaliana na wewe lakini at least abgeruhusu kuwepo kwa ukaguzi wa miradi husika badala ya kuikumbatia. Hivi mtu letsay akununulia chakula Cha buku ukiwa na njaa ila akatumia risit kkukutengenezea deni la mil Moja utabaki unasema ni mwema kwakoKaka, hatukatai anayoyafanya mama Samia, kuendeleza miradi ya awamu ya tano, ambaye yeye mwenyewe alihusika. Tofauti ya Magu na wengine ni kuwa miradi yake ilikuwa ni a game changer, yaani alifanya a paradigm shift kwa watanzania na Afrika kwa ujumla, alionesha tunaweza. Yale mawazo ya kuwa Afrika haki yetu ni treni za gari moshi aliondoa, wakubwa walitaka tuifufue MGR tuu. Eti, tukitaka kupanda mchongoko twende kwao, Kha!
Wanakuballi kwa sababu alificha darkside ya uovuNdiyo maana hadi watu wa mataifa wakaja na slogan za "magufuli effect" na "what would Magufuli do". Nitajie kiongozi mwingine wa Africa aliyepewa hash tags kama hizo?
Kwa ujumla bongo ukipata tender wewe ni fisadi. Sikuona haja kuvunja mkataba na kisena wakati alikuwa anaperform vizuri sana hata kama kulikuwa na madhaifu ilitakiwa kukaa naao meza Moja na kufanya marekebisho.Usimamizi mbovu,hata brt binafsi nashangaa walioufelisha ule mradi bado wapo mtaani,mimi nishawahi kumiliki hiace ambayo ilikua inapiga kazi nje ya mji,foleni,makosa ya barabarani na bado pesa nilikua naiona,how come brt ishindwe kuleta faida ikiwa kwanza kuna abiria wa kutosha hadi wengine wanakaa saa nzima bila kupata gari,brt aiandikiwi faini za barabarani,aikai foleni na bado imefeli,pesa yote imeenda kwa watu na hao watu wapo uraiani halafu jela wamejaa wezi wa kuku!
Mzee kweli unajuwa ku spin, nipatie mifano ya scandals kama za IPTL, Escrow, EPA, Radar, kuuzwa kwa NBC katika awamu ya 5.Mkuu kipindi Cha magu sio kwamba hakukuwa na wizi Bali wizi ulifanyika kwa kiwango kikubwa kukawa na udhibiti mkubwa wa media na watu kuongea. Ndo kipindi pekee ambako Cag aliondolewa madarakani bila utaratibu . Na uibe vizuri pesa ni Kuanzisha miradi na miradi mingi ilikuwa chini ya ofisi yake hata haya manunuzi ya ndege hakuna anayejua.
Ntakupa mfano tu wa ununuzi wa mabehewa chakavu ya sgr kutoka ujerumani ambayo yalinunuliwa kwa karibia mara mbili ya Bei ya mabehewa mapya
Kweli, rais ndiyo mtoa pesa ila kama siyo msimamizi mzuri, watu watakula kwa urefu wa kamba zao.Mkuu ukisema kwamba tumtoe kwa sababu alikuwa wazir unatakiwa ujue kuwa rais ndo mtoa pesa na sio waziri , waziri ni msimamiz tu.
Labda ili twende kihaki toa wewe suggestion tulinganishe wapi ? Elimu,afya ,maji au haki za watumishi
Mbona haya ya kugushi ndiyo yaliyozuiwa zaidi amwamu ya 5? Hivi unafikiri wananchi ni wajinga kumpenda Magu? siyo rahisi kudangaya watu mil 60, kama unayosema ni kweli watu wangesema.Mkuu nakubaliana na wewe lakini at least abgeruhusu kuwepo kwa ukaguzi wa miradi husika badala ya kuikumbatia. Hivi mtu letsay akununulia chakula Cha buku ukiwa na njaa ila akatumia risit kkukutengenezea deni la mil Moja utabaki unasema ni mwema kwako
Wanakuballi kwa sababu alificha darkside ya uovu
Usenge gani?Imeshindikana kuacha huu usenge!
Hizi Id mpya humu ndo chanzo cha huu usenge unaoendelea humu.
Kwani hamuoni sehemu ya ignore!
Pages kibao halafu zote usenge.
Mzee kweli unajuwa ku spin, nipatie mifano ya scandals za Escrow, EPA, Radar, kuuzwa kwa NBC katika awamu ya 5.
Kweli, rais ndiyo mtoa pesa ila kama siyo msimamizi mzuri, watu watakula kwa urefu wa kamba zao.
Mbona haya ya kugushi ndiyo yaliyozuiwa zaidi amwamu ya 5? Hivi unafikiri wananchi ni wajinga kumpenda Magu? siyo rahisi kudangaya watu mil 60, kama unayosema ni kweli watu wangesema.
Kabla hata ya kutaja scandal, unadhani CAG Assad alifukuzwa na kunyimwa salary ya miezi 6 Kwa sababu gani? πππππMzee kweli unajuwa ku spin, nipatie mifano ya scandals za Escrow, EPA, Radar, kuuzwa kwa NBC katika awamu ya 5.
Kweli, rais ndiyo mtoa pesa ila kama siyo msimamizi mzuri, watu watakula kwa urefu wa kamba zao.
Mbona haya ya kugushi ndiyo yaliyozuiwa zaidi amwamu ya 5? Hivi unafikiri wananchi ni wajinga kumpenda Magu? siyo rahisi kudangaya watu mil 60, kama unayosema ni kweli watu wangesema.
Prof. Assad walikuwa na bifu na Magu kabla ya kuwa rais, hadi leo bado anamlalamikia marehemu, sasa huoni hiyo ni personal matter?Kabla hata ya kutaja scandal, unadhani CAG Assad alifukuzwa na kunyimwa salary ya miezi 6 Kwa sababu gani? πππππ
Unaijua Ile 1.5T? Unaijua Ile pesa walichota BoT baada ya Magu Kufa?
Bifu gani Hilo ambalo lilikuja baada ya Assad kuibua ufisadi wa Trilioni 1.5? Wacha usenge we jamaaProf. Assad walikuwa na bifu na Magu kabla ya kuwa rais, hadi leo bado anamlalamikia marehemu, sasa huoni hiyo ni personal matter?
Mkuuu nashukuru umekuja hapa, je ungeyajuaje kama sio ukaguzi , mambo mengi yaliibuliwa na ofisi ya Cag na yakafika bungeni wabunge wakajadili kwa uhuru.Mzee kweli unajuwa ku spin, nipatie mifano ya scandals kama za IPTL, Escrow, EPA, Radar, kuuzwa kwa NBC katika awamu ya 5.
Mkuu raisi hawez kuwa sehem zote na ndo maana kukawa na taasisi kama usalama wataifa, pccp, Cag na kwa wakaguzi wandani wapo karibia Kila taasisi na ripoti zao hutoka Kila mwaka.Kweli, rais ndiyo mtoa pesa ila kama siyo msimamizi mzuri, watu watakula kwa urefu wa kamba zao.
Wananchi wanampenda sababu alizuia watu wasijue uchafu kwa hiyo ikaonekana yeye ndo Bora kwa sababu hawakuwa na taarifaMbona haya ya kugushi ndiyo yaliyozuiwa zaidi amwamu ya 5? Hivi unafikiri wananchi ni wajinga kumpenda Magu? siyo rahisi kudangaya watu mil 60, kama unayosema ni kweli watu wangesema.