Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pengine isingekamilika na hata kama ingekamilika basi ni Kwa gharama kubwa sana na maumivu ya kutosha Kwa sekta zingine.

Haiwezekani mtu anasingizia Sgr ,bwawa sijui vitu gani Kwa kunyima maendeleo sekta zingine kuanzia Ajira,Kilimo,mifugo, miundombinu mk

Nimewahi Kuandika humu jukwaani na nyie mnajua kwamba Barabara zote kuu alizozikuta Mwendazake kutoka Kwa JK ameondoka na kuziacua na mavumbi isipokuwa 1 tuu ya Tabora-Mpanda.

Mwisho umewahi sikia Samia analeta visingizio kwamba tumesimamiaha sekta abc kisa anajenga sgrzsijui bwawa au kununua ndege?

Mama ana pesa na anajua kutafuta pesa Kwa njia ya biashara bila hata kupora mtu au kufungua account.

Mwisho kubali tuu kwamba legacy imezidiwa mjadala ufungwe πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Ndio,maana hoja ni anakamilosha na amekamilisha miradi ya Mwendazake na kuanzisha utitiri wa miradi Kila sekta tena bila visingizio kama wakati ule.

Unajifanya umesahau si ndio? πŸ˜‚πŸ˜‚
kama kuanzisha na wewe kaanzishe basi tukuone πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

hio bwawa la nyerere unesco waliwazuia tusijenge na vikwazo wakasema wataweka umesahau leo hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pumba gani hii mzee
 
outer ring ya dodoma ingekua ishakamilika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jengo la mwanza airport lingekua lishaisha, etc
 
kama kuanzisha na wewe kaanzishe basi tukuone πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

hio bwawa la nyerere unesco aliwazuia musijenge na vikwazo wakasema wataweka umesahau leo hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi Niko mgongoni Kwa mama yaani ndio tunatekeleza ilani Kila sekta ni kicheko.

Hakuna palipolala ndio maana tuna jeuri ya kuongea.

Miaka 4.5 kama miaka 10,Akifika 2030 Tanzania itakuwa na GDP ya over 120.

Soma hapa Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza
 
Huyu mama watu wanamchukulia poa ila kuna vitu anafanya watu hawataki kukubali,hata hii issue yake na jpm ni chuki tu ya pro jpm na pro mama,ila ukiangalia kwenye miradi hata jpm mwenyewe uko kaburini anafurahi miradi aliyoianzisha yote hamna ambao umelala,mama anatendea haki maono ya jpm tuache ushabiki na chuki za kipumbavu
 
legacy imezidiwa na ikiwa mtu amelala chini miaka mitatu bado munahangaika nae kuficha mazuri yake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

leo nchi imefika deni trillion 100 bado kuna tozo tunaambiwa ni kwa ajili ya same projects ambazo pesa zinakopwa tena alaf tuko hapa kushangilia kila kitu

nchii ilinyooka kama ruler sio hospitalini sio maofisini sio wizarani heshima kazini ilirudi au tumesahau leo, haya nenda kwenye hospital za serekali sasa hvi kama utahudumiwa bila rushwa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
miujiza na alaf deni la taifa limetoka trillion 54 mpaka 100 within 3 good years
na bado tozo kila kona

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…