Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

At least umeongea something smart for the first time😂😂🤣.

And that’s the situation with most Tanzanians, you have a lot of land and livestock yet 80% of you are still poor.
Kuna jamii bado hazijawa na uamko wa kubadilisha asset ikawaingizia kipato.
Kilimo na ufugaji wengi wanachukulia mazoea tu.
Ila kilimo na ufugaji ukaamua kuifanya kwa namna ya BIASHARA basi unatoboa.
Hilo sikatai huku TZ kuna raia wengi wanamiliki ardhi kubwa na mifugo ila bado masikini.
 
80% of Tanzanians are poor with 56% living in extreme poverty 😂😂
 
Unajitoa ufahamu? 😄😄😄😄

1.Amefuta madalali wa korosho
2.Ameanzisha utaratibu wa mauzo ya mazao ya biashara Kwa online via TMX
2.Ameongeza Bajeti ya Kilimo Kwa mara 6 zaidi na Sasa hactares 500k za irrigation ziko under construction,ikumbukwe Toka uhuru Tanzania Ina hacter 830 tuu.
3.Ameanzisha Mnada wa chai ndani ya Nchi.
4.Ameanzisha Mpango wa ruzuku Kwa pembejeo
5.Ameanzisha progatamu ya kugawa matreka 10,000 by 2030 via mechanisation project
6.Amefifua mashamba yote ya mbegu ya taasisi za Umma
7.epinguza importation ya mbegu za Kilimo Kwa 50%
8.Ameshawishi wawekezaji wa viwanda vya mbolea ,IntraCom inazalisha,Etha group kinaendelea na ujenzi Mtwara.
9.Ameongeza uzalishaji wa korosho na mauzo mengine ya chakula mara 2.
10.Sekta ya mazao inachuana na dhahabu na Utalii kuingiza pesa za Kigeni ndani ya Nchi.

Najua unaumia ila Sasa ndio huna Cha kufanya 😁😁😁👇👇👇

View: https://x.com/GileadTeri/status/1852287351927579069?t=kErWMKEeInV--guRus8Rdw&s=19

Niongeze nyama au niishie? Kula hiyoo ukafie mbali huko 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DB1uxVVJEGk/?igsh=czU0NWNpazFpMXJz

View: https://www.instagram.com/p/DBwFl-ToiRV/?igsh=cmFpMnd5aTBiY2do

Kaka hii utaambiwa ni chawa , wengi wetu hatufuatlii kinachoendelea ila tuna Ile kasumba kuwa ni mwanamke, utagombana na wengi sana.
Watu wajaribu kufuatilia hata kwenye elimu tu idadi ya shule mpya na maboresho yameyofanyika kwa miaka 3 tu hii kabla ya ku argue, issue ukielekeza unaambulia matus
 
Football leagues going on in Tanzania. And these leagues have bought various players from Africa and outside of Africa

Tanzanian Premier League​

1730537612572.png
 
Mind you Kuna currency fluctuation ukiweka 20 mil letsay kwa miaka 10 utakuja kupata hiyohiyo mil 10 no matter the value of shilling at that moment.
Njoo tukufunze ujasalimali
Kama kawaida yako you are low IQ. Do you know how compounding frequency works?

20M invested for 10yrs will give you 121M at the end of 10yrs.

IMG_0721.png
 
Pole sana kijana 😂😂😂😂😂ndio maana nasema huna maarifa ya maisha.
Nenda kasome how livestock trading hata small scale inavyokutajirisha.
Endelea kuwa na mawazo mgando.
Unasema aendelee kuwa na mawazo ya kudanganya anaumwa ili apewe off 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unasema aendelee kuwa na mawazo ya kudanganya anaumwa ili apewe off 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Watchman wewe hufai kuongea penye watu wanongea, Kosugi is Clinical officer, I’m a Microbiologist. What are you? Ngoja tukianza kuongelea mambo ya kubeba rungu na kumulika torch tutakuita uchangie😂😂🤣
 
You are very foolish.

Let’s assume umepewa 50M, how much will you use to buy pigs? How many pigs will you buy? Have you considered that those pigs will need shelter? Have you considered that those pigs will need food? Have you considered that those pigs will need medication? What about the workers? Are you aware that those pigs can be stollen any time? Are you aware that calamities can fall anytime and those pigs will all end up dying? After considering those, now tell me, how long do pigs take to mature for selling? How much profit will you be making per pig after removing all the expenses and after how long?

Now Take that 50M take to a Money Market Fund earning an interest of 18% alafu utulie upate pesa, no expenses at all.

Your pigs can’t grow after one year but for me I’ll be 9.8M more richer without even doing anything 😂😂🤣👇👇👇

View attachment 3141272
Kwani we zumburu ushaifanya biashara yoyote.? 😂😂

Ngoja nikutoe tongo tongo, umeona hiyo 50 million .? Ukiiweka bonds ni kujinyima hela, haiwezi zalisha more,

Chukua hii, hiyo nusu ya hiyo pesa 25 million ingia zako Kondoa dodoma, Babati Manyara, Handeni Tanga na g, chukua mbuzi zako kwa mbuzi mmoja mwenye thamaji ya elfu 70 tu au 80k ( ushalipia vibali vya kumnunua na kumsafirisha kila mbuzi) tia hao mbuzi kwene gari ya kubebea. 25 million kwa kila mbuzi mmoja ni sawa na mbuzi 312, shusha hao mbuzi Pugu mnadani Dar es Salaam, uza kila mbuzi mmoja 100k hadi 110k, wewe vizia faida yako iwe 20k kila mbuzi mmoja ulieuza, then njoo kwenye faida utakayotengeneza kwa hiyo siku
20k times 312 = 6,240,000/=

Sasa wewe fanya hii biashara walau kwa wiki mara mbili tu, ambapo kila wiki moja utaweza kuzalisha 12,480,000/=

Mwaka mmoja una majuma (wiki) 54, ikiwa faida yako itakuwa 12,480,000/= Tz money. Kwa mwaka itakua ni sh ngap.?

52 times 12,480,000 = ?

Let’s uliweza kufanya trip moja tu kwa wiki , hesabu itakua hivi
6,240,000 times 52 = ?

Au huko kwenu hakuna hizi fursa. .? 😂😂😂
 
I don’t take advises from poor people. Look at your house, Ona vitu unakula😂😂🤣👇👇

1730539812097.jpeg
 
Back
Top Bottom