Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Avic Towers (43flr, 35flr, 28flr, 25flr,24flr,24flr now visible from Westands. It has already surpassed mirage towers and hotel kempinski. Nairobi skyline is changing impressively...and Pinnacle Tower (70 flr, 45flr), Montave (40flr,30 flr, 22flr,22flr, 22flr) plus Cytonn Towers (35flr, 35flr, 35flr) are not yet complete plus many other buildings under construction
View attachment 651886
tuoneshe kila jengo ulilitaja kua underconstruction unioneshe hapa kama huna endelea kupost renders😀
 
Special indeed in the manner in which you devour people living with Albinism. Don't come here and paint yourselves as these angels on earth. Danganyikans are satanic in nature...... Take that to the bank
Kamamaa umekuja kwa kasi,funga khanga vizur tusikilize shudu zako
 
niletee official source nasubiri😀😀😀
Hata wawe nao laki moja wanasaidia nini wakati 3M ya wakenya wanakufa njaa, 2.5M wapo Kibera na slums zengine bila vyoo?, hawawajali zaidi ya watu 20M wanaoishi chini ya 1$ kwa siku, wanasherehekea billionea wachache, hao ni vichaa.
 
Pwahahahaha unajivunia na 1850MW?😀😀😀so sad bana...ebu tafta Kenya's elctricity output....hii 1850MW ni ya kuamsha Nairobi peke yake...
Nairobi this nai that lol, I think 50% of nai residents have no electricity access and ya yelling. ..nai this nai that city I matatus and lots of slumssmh
 
naona ulidanganywa kuwa Kenya haina project kama hizo😀😀 By the way, lake turkana wind power is complete and it is the largst in Africa...1850MW haiwezi hata kuwasha Nairobi ndugu😀😀😀 vitu vingine sio vya kujivunia bro unatia aibu....waulize waafrika kusini wanatengneza stima kiasi gani kwanza kisha uje unitag😀😀 yaani hata hio 3000MW ya Kenya ni aibu bado
3000mw wala hamjafikisha uache ku zoom mambo,sasa SA tukiitaja sisi mnalipuka mihemko kama tumewashika tako Leo imekuaje mnaitumia km reff?
Nairobi tangu lini ikawatumia umeme w a tz nzima ? Tuko n viwanda vingi sana na miji mikubwa mingi na umeme utoshe nashangaa sana unavyotaja korogocho kwamba wana matumizi na umeme
 
Avic Towers (43flr, 35flr, 28flr, 25flr,24flr,24flr now visible from Westands. It has already surpassed mirage towers and hotel kempinski. Nairobi skyline is changing impressively...and Pinnacle Tower (70 flr, 45flr), Montave (40flr,30 flr, 22flr,22flr, 22flr) plus Cytonn Towers (35flr, 35flr, 35flr) are not yet complete plus many other buildings under construction
View attachment 651886
Impressive.
 
it's pretty clear that cecafa challenge cup finals this sunday between harambee stars vs zanzibar heroes will attract a lot of tv audiences in kenya even those who hate azam tv.
4e05b03d50efa412410a569d2b1d0216.jpg


NB:
azam tv is the only authorized tv station allowed to broadcast cecafa tournaments then distribute the feed to national tvs for countries whose team are participating in the tournament this year.
 
All people in Dar live in mansions and drive range rovers..why is the GDP per capita 800 usd????
Wewe per capital yako ni 1600?huoni bado uko down sana? Japo fact Ni kwamba tuko 1100 but ww uko na ngap?au Ni mbwembwe nyuma ya keyboard
 
Don't change cutting point used by WB to calculate poverty level in third world countries, it is under $1, this makes Kenyans 43% who can't afford daily meal.
The stark upo sahihi nimeona kwa sasa ni 1.9$
No its already changed. In some areas its actually two dollars. A country can also set its own poverty line
 
Elimu yenu zaidi ya kiingereza na tribalism nini zaidi huwa mnafundishwa?, sema nchi ipi imejipangia kiasi chake cha level ya umasikini?..stupi mkubwa wewe
Dude you need exposure.. In the US poverty is measured per household. Currently it's 10000 dollars. What is poor in NRB may be something different somewhere else. Feed your mind.
 
Back
Top Bottom