Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nice one....this was on 12th
0c77adaf7f0a979739d633a02bcf4996.jpg
6ca1a9e9c7340708ca0ca4ea3b97abf0.jpg
 
Kuna njia nyingi za kuendeleza watu, ya kwanza na ya msingi kabisa ni kuwawekea watu mazingira ya kuishi bila kuwa na chuki au uadui.

Somalia kwa mfano nivigumu kupata maendeleo hata ukileta wawekezaji wa kila aina kwasababu hawapendani baina ya makabila yao. Utajenga kiwanda leo kesho watakilipua.

Unapoweka mazingira mazuri kwa watu kukaa kwa amani sehemu fulani, nirahisi kufanya biashara, kujenga miundombinu na kuleta maendeleo.

Maendeleo ni kuendeleza kitu au watu kutoka kiwango cha chini hadi cha juu bila kusimama.

Hapo utaona kama kuna chuki baina ya watu katika nchi moja basi hakuna maendeleo kwakuwa chuki italeta fitna au vita na hivyo kuharibu kile kilicho kuwa kimejengwa, kisiendelezwe. Kwa maneno mengine hakuta kuwa na maendeleo.
We waongea juu ya Amani.. Watu utafuta njia za kujigawanya kila mahali. Ukiangalia hata TZ utapata mnagawanywa na nini.
 
Kaka usijaribu kuzungumza vitu ambavyo huna uhakika navyo, hakuna nchi inayoweza kujipangia yenyewe kumbuka hivi viwango ni kwa ajili ya matumizi ya kidunia sio individual countries, sasa kila nchi ikiwa na cut point yake dunia itawezaje kulinganisha maendeleo ya nchi mbalimbali duniani na kuziweka katika makundi?

Kwanza walikua wanatumia $3 per day kwa nchi zote duniani bila kujali kama ni developed or developing countries, baadae wakazitenganisha kati ya developing countries pekee nankuanza kushusha kutoka hiyo $3 per day hadi sasa imefika $1per day, na matumaini ni kwamba hata hiyo pia itaendelea kushushwa zaidi.
Si unatumia maneno mengi. Nchi inaweza ikapanga kiwango kyake kya umasikini kinaanzia kiwango gani.... Nchi ni tofauti
 
We waongea juu ya Amani.. Watu utafuta njia za kujigawanya kila mahali. Ukiangalia hata TZ utapata mnagawanywa na nini.
.
Utofauti baina ya watu ni asili ya binadamu lakini ukiweza waunganisha bila kujali tofauti zao ni jambo zuri na la busara zaidi.

Hivi unafikiri ni kwanini kiongozi yeyote aliyetaka kuunganisha watu/nchi nyingi alipingwa na mataifa makubwa? Waswahili tunasema umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, kama watu wengi wakiungana na kuwa kitu kimoja huo teyari ni msingi wa maendelo, mengine ni chachandu tuu.

China kwa muda elfu walishindwa kuendelea kwasababu ya vita kati ya falme zao wenyewe. Wajapani waliweza hata kuwatawala kwa sababu hiyo, lakini baada ya Mao kuwaunganisha sasa hivi dunia nzima inacheza mziki wao.
 
Sad to announce the death of Havard Professor @calestous Juma, who died in Boston. The Kenyan professor was listed among most reputable on earth in 2017.
 
cecafa challenge cup 2017:
congrats our zanzibar brothers for a job well done.

e3dd6f663695ab309a76544bc5c9628a.jpg

fainali itakuwa harambee stars vs zanzibar heroes.
 
This is the one thing I usually commend Dar on.....the rest is mere fanaticism and trying so hard to sell the unsellable
Just this time next year you will forget about BRT, Electrical modern and comfortable bullet trains will be on
cecafa challenge cup 2017:
congrats our zanzibar brothers for a job well done.

e3dd6f663695ab309a76544bc5c9628a.jpg

fainali itakuwa harambee stars vs zanzibar heroes.
 
Back
Top Bottom