Huna unalojua juu ya hali ya biashara ya KQ, unachojua ni blaah..blaah.. na sifa za wakenya za kijinga, hivi hamjijui kwamba ninyi ni limbukeni wa sifa za kijinga wakati kichwani hamna akili?, sema deni lilikua ni kiasi gani na nani aliyelipa hilo deni kama unakataa kwamba creditors wa KQ hawakulazimishwa kuwa share holders.sasa ww unaniletea hadithi nyingi za paukwa, pakawa...... kuwa serious man. hatuko kijiweni
How come middle income but 43% live under 1$ per day?unemployment rate of 12% yet u still an LDC are tanzanians paid peanuts??
Utasikia Nairobi eti ni mega city![]()
![]()
![]()
![]()
walipopaficha sasa pako peupe
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hafu ni mbaya tu.....haina kipya cha kuvutia....kidogo sana wamejitahidi kwenye upanuzi wa roads vingine ni uchafu tuNai ndogo sana
Si ukikuza watu ndio watakua na pesa na wanachangia kukua kwa uchumi... How have you developed the people?Hawa watu wagumu sana kuelewa, yaani wao uwezo wao wa kufikiri unaishia ndani ya kibuyu, nje ya hapo weupe kabisa.
Mtu unawaambia sisi tuliamua kuwekeza kwa watu kwanza na kutumia nguvu kazi yote huko na matokeo yake tunayaona sasa, kuwa nchi yetu ina umoja na hayo ni maendeleo makubwa sana. Huwezi kujenga nyumba kwenye uwanja wa vita, hawa jamaa hata ukiwaeleza hawakuelewi.
Sasa hivi tuko awamu ya pili ya maendeleo ambayo ni uchumi na katika miaka 10 tu Dar tumeibadilisha na, vivyo hivyo Mwanza na Dodoma. Huo uchumi walioanza kuujenga toka 60s badala ya kujenga jamii iliyostaarabika uko wapi? Ukiangalia kasi ya maendeleo tuliyonayo sasa ni dhahiri miaka kumi ijayo tutakuwa tuko mbali sana wakati wao bado wanaishi kwenye jamii ya chuki baina yao.
Its 1.25 dollars.How come middle income but 43% live under 1$ per day?
Don't change cutting point used by WB to calculate poverty level in third world countries, it is under $1, this makes Kenyans 43% who can't afford daily meal.Its 1.25 dollars.
No its already changed. In some areas its actually two dollars. A country can also set its own poverty lineDon't change cutting point used by WB to calculate poverty level in third world countries, it is under $1, this makes Kenyans 43% who can't afford daily meal.
Battle: Dar es Salaam vs NairobiNo its already changed. In some areas its actually two dollars. A country can also set its own poverty line
Utasikia Nairobi eti ni mega city![]()
![]()
![]()
![]()
walipopaficha sasa pako peupe
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kweli kabisa tena arusha itafikia kipindi itaibwagwa chali nairobi.....Ukiondoa miundombinu ya barabara waliyonayo,Nairobi ni kama Arusha tu.!
Kuna njia nyingi za kuendeleza watu, ya kwanza na ya msingi kabisa ni kuwawekea watu mazingira ya kuishi bila kuwa na chuki au uadui.Si ukikuza watu ndio watakua na pesa na wanachangia kukua kwa uchumi... How have you developed the people?
Kaka usijaribu kuzungumza vitu ambavyo huna uhakika navyo, hakuna nchi inayoweza kujipangia yenyewe kumbuka hivi viwango ni kwa ajili ya matumizi ya kidunia sio individual countries, sasa kila nchi ikiwa na cut point yake dunia itawezaje kulinganisha maendeleo ya nchi mbalimbali duniani na kuziweka katika makundi?No its already changed. In some areas its actually two dollars. A country can also set its own poverty line
U always have your own stats...Kenya is a middle income because it has a high GDP per capita......How come middle income but 43% live under 1$ per day?
GDP per capital numerically is $1200, but 43% of population which is about 20million people live under $1, how can you explain this?, remember only 8300 rich people control 62% of your GDP, Kenya economy is the most ruthless in entire AfricaU always have your own stats...Kenya is a middle income because it has a high GDP per capita......