Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Says a Quack.Yani hiyo harusi hata nilivyooa sijaoa kishamba na kipumbavu namna hiyo.
Harusi ya kishamba hiyo na mavazi ya kishamba kabisa.
Says a Quack.Yani hiyo harusi hata nilivyooa sijaoa kishamba na kipumbavu namna hiyo.
Harusi ya kishamba hiyo na mavazi ya kishamba kabisa.
Wewe Quack hakuna kitu wewe hujua, no wonder unalipwa mshahara wa 15k gross😂😂🤣Mshamba sana huyu jamaa😂😂😂😂😂.
Kwanza hata mavazi yake ulimuona avaavyo!?
We all know the Left of the brain of Teargas is not Right and the Right is not Left 😀 😀 😀Hizi ni harusi za watu wa chini huku Kenya.
Yani mkiambiwa ukweli ni kulia?😂😂🤣😂 Treni zenu si zishakwama mara nane kwa msitu?😂😂🤣
Sisi trains zetu hazikwami porini. Ni aibu kwa nchi kuwa na train inakwama mara nane kwa mwezi😂😂Ukweli upi nyie mnayo haya tupe maelekezo Emu yenu mmefanyaje hadi haikwami porini
Hamuwezi haya mambo. Hamna utaratibu wa kijamaa kama Tanzania. Harusi za watu wa chini Tanzania hata matajiri wengi wa Africa Kusini hawagusi.Hizi ni harusi za watu wa chini huku Kenya.
Nishakuzoea kubwata kwako.Wewe Quack hakuna kitu wewe hujua, no wonder unalipwa mshahara wa 15k gross😂😂🤣
Alinivaliaga kiatu hicho kimepinda kama kangaroo.Atajulia wapi kakulia kibera hata kutoka hajwahi
I knew about Sanitization even before ukuwe Quack.Nishakuzoea kubwata kwako.
Kwanza umekwishajifunza kuhusu sanitization!?
Ona hii kuku,mie mkubwa wako shika adabu.I knew about Sanitization even before ukuwe Quack.
Uliogenzwa mshahara ama bado unalipwa gross ya Ksh15,000?😂😂🤣😂Alinivaliaga kiatu hicho kimepinda kama kangaroo.
Nikamletea mfano wa kiatu kizuri nitakirusha humu,akadai chake kizuri alooo😂😂😂😂😂😂😂.
Simfanyii kazi mtu sasa hivi mimi.Uliogenzwa mshahara ama bado unalipwa gross ya Ksh15,000?😂😂🤣😂