Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Aisee hii game ya jana imeonesha jinsi gani ligi yetu ilivyo bora, ulipigwa mpira mwingi sn aisee, very quality players huwezi wapata ligi yoyote hapa East and central Africa, Nigerians, Ghanaians, Ivorians, Zimbabweans, Cameroonians, et al. Sio poa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Nakumbuka mipaka ya EA ilipofunguliwa kulikuwa kuna ujambazi sana wa kupora mabenki Arusha na Moshi mpaka siku polisi walipoamua ku-trail na ku-shoot a Suzuki with all its occupants apparent walikuwa wakina Mahina majambazi toka Nairobi on a mission to rob a bank!
Uzuri wanaoongelea Kenya vibaya ni bongolala tu kutokana na chuki, ila Tanzania ishaajulikana ulimwengu mzima kuwa drug dealers, homeless na ombaomba.😂😂
 
Zimetoka Kenya 😂😂

View: https://www.instagram.com/p/DBxyViFNRgS/?igsh=MXJrNWU0dzkyM3A1Yw==
20241031_115826.jpg
20241031_115819.jpg
20241031_115831.jpg
 
Back
Top Bottom